Thursday, January 16, 2014

UREMBO NI GHARAMA NA GHARAMA HIZO MUDA MWINGINE UGEKA SHUBURI


Elizabeth ni mrembo alietumia pesa nyingi kujikarabati mwili wake, sasa gharama hizo zina mtesa kutokana na sehemu ya juu  ya mwili wake kuzidi kukuwa siku hadi siku tofauti na matarajio yake.
Elizabeth ni mrembo mwenye makazi yake huko Hollywood ana umri wa miaka 43 alianza kujikarabati mwili wake toka akiwa na umri wa miaka 32. $200,000 zilitumika kwa kazi hiyo ya kupendezesha mwili wake. Midomo na kifua ndiyo sehemu kuu zilitumia na gharama hizo.
Mapozi ya ufukweni ya Elizabeth
Urembo unakazi hii yote ni kuongeza mvuto.