HII NI BLOGU YA JAMII INAYOLENGA KATIKA KUONYESHA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA NA VIELELEZO VYAKE VYA MAISHA YA KILA SIKU YA BINADAMU, IWE NI MIMI, WEWE, SISI, YULE AU WAO, HALI MRADI TUU TUENDELEE KUELIMISHANA NA KUPEANA HABARI SAHIHI ILI TUENDELEZE JAMII YETU.
Showing posts with label Viongozi wa Africa. Show all posts
Showing posts with label Viongozi wa Africa. Show all posts
Thursday, November 20, 2008
Viongozi waasisi wa Afrika yetu. Nadhani kati ya hawa wote wameshatutoka isipokuwa mzee Kenneth Kaunda wa Zambia. Je! Unaweza kuwatambua majina yao? Tuma majibu kwa kupitia barua pepe: fundikramadhani@cs.com na kujishindia zawadi nono.
Sunday, October 12, 2008
Hayati Nkruma wa Ghana
Hayati Patrice Lumumba
Kama angelikuwepo labla Congo isengekuwa kama ilivyo leo