Thursday, July 5, 2012

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA MATUKIO BUNGENI LEO



Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza swali kutoka kwa kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Mjini Dodoma  Julai 6,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongokwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 6, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 6, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mzee Ali Hassan Mwinyi atembelea maonyesho ya Sabasaba leo


Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi(katikati) akiongozwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt Abdallah Kigoda kutembelea mabanda mbalimbali(leo) jijini Dar es salaam katika maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.


Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi(kulia) akiangalia mahindi yaliyopandwa kitaalamu  (leo) jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu kutembelea bustani ya mfano ya MAGEREZA  katika maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.


Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi akitopata maelezo juu ya miradi mbalimbali inayosimamiwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC)  jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu alipotembelea maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.


Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Tanzania Ally Hassan Mwinyi akitoa maoni yake (leo) jijini Dar es salaam baada ya kiongozi huyo mstaafu kutembelea banda la MAGEREZA  kuona thamani za majumbani wakati alipotembelea maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Dar es salaam yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.
MAREKANI LEO YA SHEHEREKEA UHURU WAKE !!







Wednesday, July 4, 2012

MCHINA AMWAGA MACHOZI

MWENYEKITI wa Shirika la Ushirikiano wa Tanzania na nchi ya China SINOTA Friendship Association Bw. Jiang Jing  Ying leo asubuhi alishindwa kuvumilia na kujikuta akimwaga machozi baada ya kukutana na wastaafu wenzie waliofanyakazi pamoja Reli ya TAZARA miaka zaidi ya 40 iliyopita

Bw. Jing alikutana na wastaafu hao wa TAZARA na kuona hali zao za maisha ambapo mara baada ya kumaliza kusalimiana nao alianza kumwaga machozi akikumbuka namna ambavyo aliishi nao miaka hiyo huku wakiwa katika hali mbaya ya maisha tofauti na jinsi yalivyo maisha yake nchini China.
 Alisema kuwa ushirikiano uliodumishwa na marais wastaafu wa Tanzania Hayati Mwalimu Nyerere wa Tanzania na Hayati Mao Tse Tung wa China unapaswa kuendelezwa kwa kudumisha rasilimali zilizoachwa ikiwemo reli ya TAZARA ambayo inapaswa kutunzwa.
Bw. Ying ambaye pia ni Mkurugenzi wa makampuni kadhaa nchini China anasema kuwa hakutegemea kuwaona watu aliofanya nao kazi wakiwa katika hali duni ya maisha huku wengine wakiwa wamezeeka wakionekana wakishindwa kuendesha maisha yao kutokana na hali ngumu ya uchumi waliyonayo.
Alisema kuwa reli ya TAZARA imechakaa hali ambayo inaweza kusababisha kuibuka kwa ajali jambo ambalo linaweza kugharimu maisha ya watu, hivyo alishauri kuwepo na mikakati mbadala ya kuirejesha reli ya TAZARA katika hadhi yake kama ilivyokuwa miaka ya sabini.

Bw. Ying anakumbuka alivyofanya kazi kuanzia Kurasini Jijini Dar es salaam kati ya mwaka 1969 na baadaye Kisarawe kisha alihamia Mbeya na Mbozi hadi Tunduma ambako,amepanga kufanya ziara ya kuitembelea reli hiyo kuanzia Tunduma hadi Dar es salaam ambako amepanga kukutana na Rais Jakaya Kikwete ili amweleze mambo muhimu juu ya uboreshaji wa reli TAZARA.

NEW TRACK: Cassim Mganga ft. Mwana FA - Kama ni Mapenzi




Fid Q Feat. Yvonne Mwale - Sihitaji Marafiki (Official Video)

HII NDIO SIRI ALIYOIFICHUA ASHA BARAKA WA TWANGA PEPETA.

 

.
Big Boss wa band ya Twanga pepeta kwa mara ya kwanza toka huu mwezi uanze leo ameongea kwa mara ya kwanza na AMPLIFAYA, huwa hapendi sana kuzungumza lakini ukimuona kafanya hivyo ujue kuna sababu nyuma yake.
Alichokifanya leo ni kufichua siri ambayo ameshindwa kuivumulia, ni kutokana na ishu ya kuchukuliwa wanamuziki wake toka na kupelekwa Mashujaa Musica.
Siri anayoamua kuitangaza leo ni kwamba baadhi ya wanamuziki wake waliochukuliwa na Mashuja Band wamefukuzwa mashujaa na sasa wameomba kurudisha makazi Twanga Pepeta.
Asha amesema jumla ya wanamuziki waliofukuzwa Mashujaa anasikia ni 11, waliotaka kurudi Twanga ni watano akiwemo repa Mirinda Nyeusi ambae aliletwa Tanzania na yeye Asha kutoka South Afrika na kafukuzwa Mashujaa kisa alikwenda kumsalimia Asha.
Kwenye sentensi nyingine Asha amesema “kikubwa zaidi ni kwamba naongezewa mzigo kama wanavyoniita mama wa wasanii wa muziki wa dance, wanamuziki wanachukuliwa kwangu kwa  kurubuniwa kwa pesa nyingi lakini sio kwamba wamependa na kwa sababu umri wao ni mdogo huwa wanadanganyika wanapotanguliziwa pesa mbele..
Kuhusu kuwapa nafasi tena baada ya kuomba kurudi, Asha amesema “ndio tunataka tuwajadili kwa sababu leo bahati mbaya ni siku ya kazi sijakaa na kebineti ya Twanga kwa hiyo  sijajua lakini baadhi ya wanamuziki wako pale ofisini na sasa hivi nimewaacha pale wanaomba msaada, hebu fikiria wameachishwa kazi ghafla, wameachishwa kazi jana hebu fikiria watakwenda wapi?

NEW HIT: FID Q feat YVONNE MWALE - SIHITAJI MARAFIKI

STEVE NYERERE AKABIDHI FILAMU YAKE YA MWL NYERERE KWA MAMA MARIA NYERERE



Mwigizaji wa filamu nchini Stive Mangele 'Stive Nyerere jana alikuwa anakabidhi filamu yake ya Mwalimu
Nyerere kwa  Mama Maria Nyerere ikiwa kama shukrani zake, baada ya mama huyo kumsaidia katikakukamilisha filamu hiyo ambayo aliifanyia Butiama. Stive alisema kwamba kumpa filamu hiyo ni kuweka kumbukumbu kwamba, anathamini msaada na mchango wake  katika filamu hiyo na hana kikubwa cha kumpa wala cha kumfanyia zaidi.


Mama Maria Nyerere akionyesha filamu hizo alizokabidhiwa na Steve Nyerere

 
Amesema Mama Maria Nyerere alimsaidia sana katika kumuonyesha vitu gani mwalimu alikuwa akifanya, na vitu gani mwalimu alikuwa akivipenda, na sehemu ambazo mwalimu alipenda kukaa baada ya kazi zake. Pia ametoa shukrani kwa wasanii wenzake ambapo walijitahidi katika hali moja au nyingine kuhakikisha filamu hiyo ili ikamilika.

Tuesday, July 3, 2012

HOUSE PARTY YA KUMUAGA NYALUSI NEW YORK PICHA NA MATUKIO






LOOK OF THE DAY "AISHA AWWAL" WA TORONTO CANADA

Aisha Awwal Wa Toronto Canada Look Of The Day........

KALALA JUNIOR AONDOKA BENDI YA MAPACHA WATATU

Pichani kati ni Mwanamuziki mahiri Josee Mara akifafanua kuhusiana na mikakati yao waliyonayo kwa sasa mara baada ya mwanamuziki mwenzao mmoja,Kalala Jr kutimka na kuwaacha wakiwa wawili badala ya watatu.Josee Mara amesema wao wako fiti na hakuna kilichoharibika,kwani kuna wanamuziki wengine kadhaa ambao ni wazuri na watafanya nao kazi kama ilivyokuwa kwa Kalala Jr."Na sasa hivi nakuhakikishia Da'Suzzy tutapiga kazi ile mbaya,kwa sababu hao vijana tunaowaongeza ni wanamuziki wazuri na tunawahamu toka kitambo,kwa hivyo naamini mambo yatakuwa sawa na washabiki wetu wasivunjike moyo,waendelee kutuunga mkono tu,sisi ni wapambanaji kwa hiyo ni lazima tupambane"amesema Josee Mara.Aidha Khalid Chokoraa ameongeza kuwa katika kuonesha bado wako fiti wamekwisharekodi singo  yao moja iitwayo ONA NAONEWA,ambayo wataitambulisha hivi karibuni kwa mashabiki wa muziki wa dansi
 

EMIRATES LAUNCHES BARCELONA SERVICE


*Double daily Madrid flights as of 1st July 2012
* DUBAI, UAE – 3rd July 2012 – Emirates launched flights to Barcelona today as part of a tripling of services to Spain.

The airline’s daily flight to Madrid went double daily on 1st July and coupled with the brand new Barcelona route, the carrier now offers three flights a day into the country.

The VIP delegation aboard today’s first flight to Barcelona included Salem Obaidalla, Emirates’ Senior Vice President, Commercial Operations, Europe & Russian Federation; Hiran Perera, Emirates’ Senior Vice President, Cargo Planning & Freighters; Brigadier Obaid Mehayer Bin Suroor, Deputy Director of Dubai Naturalisation & Residency Department; José Eugenio Salarich, Spain’s Ambassador to the UAE and representatives from the media.

Passengers booked from 20 countries, including the UAE, Kuwait, Saudi Arabia, South Africa, South Korea and Indonesia, also joined the inaugural flight.   

“In the space of 48 hours, Spain has shot up our list of most served European countries, said Salem Obaidalla, Emirates’ Senior Vice President, Commercial Operations, Europe & Russian Federation. “Connecting Spain to our network with three flights a day from what was a daily flight to Madrid is a major boost to our operations and underscores our commitment to the Spanish market.”   



In Barcelona, Fernando Suárez de Góngora, Emirates Country Manager for Spain, hosted a welcoming reception attended by Sonia Corrochano, Director, Barcelona El Prat Airport and Damià Calvet i Valero, Territory and Mobility Secretary of the regional Catalan government.

With the new Emirates’ service between Barcelona and Dubai, the Catalan capital gets connected to one of the most important cities and regions for business worldwide,” said Mr Damià Calvet. “Emirates has valued Barcelona and its airport as a good opportunity within its global growth strategy. To Barcelona and the Catalonia region, this route also represents an opportunity for the globalisation of Catalan enterprises and for the region’s economy, key elements to get over the economic crisis.”  

Emirates will serve Barcelona with a 777-300ER offering 360 in a three-class configuration. Staffed by highly trained, multi-lingual cabin crew, the aircraft offers luxurious First Class Private Suites, lie-flat seats in Business Class and a new generation of comfort in Economy Class.

Sunday, July 1, 2012

ENGINEER DEUSDEDIT MALULU NA DORIS KASAKA WAMEREMETA KATIKA NDOA YAO TAKATIFU ILIYOFUNGWA JANA.

Engineer Deusdedit Malulu akiwa na mke wake kipenzi Doris Joseph Malulu, kwa pamoja wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa Takatifu jana katika kanisa la Roman Katoliki Parokia ya Mavurunza Kimara.

Engineer Deusdedit Malulu akimvisha pete ya ndoa mke wake mpenzi Doris Kasaka aliyefunga nae ndoa takatifu jana.

 
Familia ya Mzee Njelu Kasaka wakipiga picha ya kumbukumbu na watoto wao wapendwa Doris Kasaka Malulu na Engineer Deusdedit Malulu waliofunga ndoa takatifu jana jioni.

Maharusi kwa nyuso za furaha wakipiga picha na Mtoto wao.

Engineer Deusdedit Malulu na Mkewe Doris wakikata Keki kwa pamoja kuonyesha kuonyesha ishara ya umoja na mapendo.
Meza kuu ya Familia ya Engineer Deusdedit Malulu

Meza kuu ya Wazazi wa Doris Kasaka.

Engineer Deusdedit Malulu na Doris Kasaka walifunga ndoa takatifu katika kanisa la Katoliki Parokia ya Mavurunza Kimara jana Tarehe 30/06/2012 na baadae kwenye Sherehe ya nguvu iliyofanyka katika ukumbi wa Luxery Mbezi Mwisho.
Bwana harusi ni Mfanyakazi wa Shirika la ugavi wa Umeme (TANESCO) Makao Makuu na Bi Harusi ni mwajiriwa wa Kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ZANTEL Dar

Spain wins again, beating Italy 4-0 at Euro 2012







Just like clockwork, Spain's "tiki taka" passing game tore Italy apart.
The World Cup champions controlled the play Sunday in the European Championship final, as they usually do. They moved the ball up the field with short pass after short pass, as they usually do.
But, incredibly, they also managed to score a whopping four goals, something they don't usually do.
It all added up to a 4-0 win over Italy and a third straight major soccer title for Spain.
"We won being true to our playing style, and by moving the ball the we way we moved it we knew how to take charge of the match," said Spain goalkeeper Iker Casillas, the team's captain. "What we do is difficult but we make it look easy."
Casillas and Spain striker Fernando Torres also made their own histories. Torres became the first man to score in two European Championship finals, and Casillas played in his record 100th victory in international soccer.
Spain's other goals on Sunday at the Olympic Stadium came from David Silva, Jordi Alba and Juan Mata.
"We were superior to Italy," said midfielder Xavi Hernandez, perhaps Spain's most influential player over the last four years. "We played a complete game and perhaps the best of the entire European Championship. We made history."
Four years ago at Euro 2008, Spain ended a 44-year drought of major titles, beating Germany 1-0 in the final to start a run that has been unmatched by any other team in history.
Although they lost to the United States in the semifinals of the Confederations Cup in 2009, snapping a record 15-game winning streak, the Spanish have been nearly impossible to beat in competitive matches.
A year after that game against the Americans, Spain opened the 2010 World Cup with a loss to Switzerland. But they then went on a tear, winning their next six games to finally claim a World Cup title and undoubtedly shed for good the "underachiever" tag.
In all that time since Euro 2008, Spain has won with flair, using its short passing game — dubbed "tiki taka" by the Spanish media and adopted by the team — to dazzle scrambling opponents.
"Tonight, there was no contest," Italy goalkeeper Gianluigi Buffon said. "They were too superior, so the bitterness at losing this final is only relative."
Against Italy, Spain was the favorite, but was also primed to be beaten after being held to a 1-1 draw by the Italians in their opening Group C match. Spain, which has been experimenting with a lineup that excludes a recognized striker, needed a penalty shootout to reach the final after a 0-0 tie with Portugal in the semifinals.
"They've been playing at a very high level for years," Italy coach Cesare Prandelli said. "And even though they didn't use any traditional striker, they were able to give weight to their attack."
The controversial lineup, which Spain coach Vicente del Bosque again employed on Sunday, is akin to playing in the Super Bowl without a running back. Sure, you can still score touchdowns, but you give up on the chance for a game-breaking play.
Still, the midfielders and the defenders got the job done in the first half. Silva headed in a high shot in the 14th minute off a pass from Cesc Fabregas. And Alba added another in the 41st, picking up a beautiful through ball from Xavi and shooting past Buffon.
"The game was ours after the first goal, but the truth is that we played one heck of a game," Fabregas said.
Italy's task was tough enough with 11 players, and it became impossible with only 10 after the 64th minute. All its substitutes were used when midfielder Thiago Motta, who had only been on the field for seven minutes, was taken off with an injury.
Torres, who came on for Fabregas in the 75th minute, then added the third goal with a relatively easy finish and Mata really put the game away in the 88th, knocking in a pass from Torres.
"The second goal by Jordi hurt them, and then the third finished them off," said Casillas, who made a point-blank save on a shot from Antonio Di Natale at the start of the second half and twice tipped crosses out of danger just before the Italians could get their heads to the ball.
With every save, and of course with every goal, the huge group of Spain supporters cheered and screamed. The red-shirted fans dominated one corner of the stadium, filling up more than six sections of the Olympic Stadium. On the opposite side, the blue-clad Italians were far outnumbered, with dozens of empty yellow seats poking through the mass of supporters.
Also in the stands were several heads of state. Italian Premier Mario Monti, along with other EU leaders, had said they would not travel to Ukraine for the tournament because of the politically tainted jailing of former Prime Minister Yulia Tymoshenko. But that didn't stop him from attending the final in Kiev.
Spanish Prime Minister Mariano Rajoy also attended the match, and got to watch as his players celebrated with confetti and fireworks when they lifted yet another major trophy.
"I don't believe it," said Alba, who has played only nine matches for Spain, "but little by little it is sinking in."