
Baadhi ya sehemu za Jiji la Arusha zinavyoonekana toka angani.
Siku zote hatuna budi kumuenzi Baba wa Taifa kwa kutujengea umoja, ambao ni moja ya sifa kubwa tuliyonayo Watanzania. Alikuwa mstari wa mbele kuikomboa Afrika kutoka kwa wakoloni na vibaraka wao.