Monday, October 19, 2009

Ndani ya Dala dala!!!


Cover ya kitabu cha hadithi na maandishi kwenye ukuta Zenji...

Sunday, October 18, 2009





THE FIRST LADY kwa ile tunayoiita "pamba" si mchezo!!!




Saturday, October 17, 2009





Ghana wachukua ubingwa wa Kombe la Dunia umri chini ya miaka 20 baada ya kuwashangaza Wabrazil kwanza kwa kutoka nao 0-0, na baadae kuwafunga kwa penalti 4-3 huko mjini Cairo, jana(16/10/2009).




Friday, October 16, 2009



NGUVU KAZI!!!

Malawian President Bingu wa Mutharika on Thursday paved the way for his brother Peter to succeed him when his second term ends in 2014.

"Professor Peter Mutharika has the right to hold or campaign for any position in this country just like anybody else. He can stand for any position. I mean any position," the president was quoted by state radio as saying.

Mutharika appointed his brother, who is an MP in the president's Democratic Progressive Party, as justice and constitutional minister after a winning re-election in May.

Peter Mutharika, a former professor of international law at a US university, was also previously advisor on law and justice matters to the president.

The president said his brother will not be "stopped from pursuing his ambitions just because he is my relation. Is it an offence to be a brother of the president?"

Mutharika said he will not nominate anyone to succeed him, but the "system will elect my successor on its own. It will be up to Malawians to choose who they want."

Mutharika, who will be 80 by the time he is due to step down, is not allowed to run for a third term under the constitution and has in any case said he would not wish to.
"I will not even extend my stay in State House by more than a day the moment the country elects another leader."

Thursday, October 15, 2009


Atlanta Hawks center Al Horford (15) drives to the basket against Memphis Grizzlies' Hasheem Thabeet (34), Zach Randolph (50) and Mike Conley (11) during the second half of a preseason NBA basketball game Wednesday, Oct. 14, 2009, in Memphis, Tenn. The Hawks won 111-96.

Wednesday, October 14, 2009

ZIDUMU MILELE FIKRA ZA BABA WA TAIFA!



KATIKA KUMKUMBUKA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE, WATANZANIA INATUBIDI KUYAKUMBUKA YALE MAZURI ALIYOYASIMAMIA WAKATI WA UHAI WAKE NA JINSI GANI ALIVYOJITOLEA MUHANGA WAKATI WOTE WA UHAI WAKE KUJENGA MISINGI IMARA WA TAIFA LETU NA WATU WAKE. UMOJA NA AMANI TUNAYOJIVUNIA WATANZANIA HAIKUWA RAISI KAMA SI MWALIMU NYERERE.
WATANZANIA TUKUMBUKE TULIKOTOKA ILI TUJUE TUENDAKO. TUSIKUBALI KABISA KUJENGA TAIFA LITAKAOWAACHA WENGINE NYUMA(TUPINGE MATABAKA), UKABILA, UDINI NA VINGINEVYO VITAKAVYOTUTENGANISHA.

WATANZANIA TUANZISHE VITA KALI DHIDI YA RUSHWA NA UFISADI, NA TUSEME KWA PAMOJA KWAMBA SASA BASI. TUSIWAPE KABISA NAFASI VIONGOZI WENYE SIFA MBAYA KUTUONGOZA TENA NA WATUMISHI WA UMMA WAELEWE KWAMBA WANANCHI NDIO WAAJIRI WAO NA KWAMBA WANA DHAMANA KWETU.

WATANZANIA TUONYESHE KWA VITENDO YALE AMBAYO MWALIMU AMETUACHIA.
MUNGU MBARIKI MWALIMU NYERERE, MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!

- Fundi Kombo Ramadhani -





We should and can do better than this... au ndiyo kusema kuwa haya ni matokeo ya uhuru wetu wa tokea 1961?

Tuesday, October 13, 2009

Hii imekaaje?

Bonge la Petrol Station!!!



Undeshaji katika mabarabara yetu ya kwenda mikoani mara nyingi ni hatari tupu kutokana na madereva wa magari makubwa ya mizigo na mabasi. Hawa jamaa si wakuaminika kabisa!


Monday, October 12, 2009

Tunisia's Issam Jomaa (L) and Nabil Tayder celebrate after scoring against Kenya during their 2010 World Cup-African Nations Cup qualifying match at Olympic Rades stadium. Tunisia won 1-0.

Sunday, October 11, 2009



Watani wetu wa jadi walizipokea habari za Obama(Nobel winner) kwa furaha kubwa kwani karibu kila gazeti pale Nairobi lilibeba habari hizo nzuri.






Jana siku ya Jumamosi tarehe 10 October, 2009, Mtanzania Rogers Mtagwa alipambana vikali na Juan Manuel Lopez wa Puerto Rico katika pambano la ubingwa wa WBO Super Bantamweight lililofanyika jijini New York katika wanja la Madison Square Garden. Bahati mbaya bahati haikua yake kwani majaji kwa pamoja walimpa ushindi Lopez hivyo kumfanya aendelee bado kushikilia ubingwa huo.




Saturday, October 10, 2009


Brooklyn Bridge, New York

Tunisian national team players celebrate after pulling a 2-2 draw with Nigeria in Abuja, on September 6. Tunisia could qualify for the World Cup a record-equalling fourth consecutive time for an African team by beating Kenya in Rades on Sunday if Nigeria do not collect maximum points when hosting Kenya in the other Group B fixture at the same time.