Monday, May 31, 2010
Mandela
Mzee wetu Mandela alipokuwa akitumikia kifungo kwa ajili ya Waafrika wenzake!
Lazima tuwape heshima sana hawa wazee wetu kwani hata ndoto zetu za kombe la mpira la Dunia kuchezewa Afrika kunatokana na jitihada zao. Asante sana Mandela, Nyerere, Kaunda, Nnkruma, Naser, Kenyata...
Huu ni unyama wa askari wa jeshi la Congo!
Friday, May 28, 2010
Wednesday, May 26, 2010
Tuesday, May 25, 2010
MISSING PERSON
Los Angeles Police Department
100 West 1st St Los Angeles LA 90012
May 20th 2010
DR# 10-18-12146
CAROLINE MMARY 26 years old
Female Black, Hair: Black, Eyes: Brown, Height: 5’07’, Weight: 150
LAST SEEN: Missing Person has been missing since March 2010. Mp was last seen leaving the 200 Block of W 88th Place in the city of Los Angeles and her family has not heard from her and are concerned that she is still missing. Mp is the mother of a 3 year old child.
If you have any information please contact, LAPD’s Missing Persons Unit
(213) 996-1800
Ndugu zangu,
ninaomba niwafahamishe kuwa kuna ndugu yangu kapotea anaitwa Carol Mmari, alikuwa anaishi Los Angels. Tayari mamlaka husika zimejulishwa, na tayari tangazo la kumtafuta limetolewa. Naomba mnisaidie kusambaza huu ujumbe kwa watanzania mnaowafahamu waishio hapa Marekani ili tusaidiane kumtafuta. Pamoja na ujumbe huu, naambatanisha picha pamoja na details zingine za Carol Mmari.
natanguliza shukrani.

Monday, May 24, 2010
Sunday, May 23, 2010
Friday, May 21, 2010
Sio lazima uwe na akili nyingi kuelewa kuwa tatizo la fujo na misongamano mijini mwetu(Bongo), inatokana na tulivyoruhusu kiholela vijibasi(Daladala) kutawala mabarabara ya miji yetu kana kwamba ndio vimekuwa mkombozi wa tatizo la usafiri. Nakumbuka wakati tulipokuwa na UDA pale Dar enzi hizo, angalau hali ilikuwa inafanana fanana na picha za hapo juu. Kulikuwa na kaustaarabu ka aina fulani. Labda pengine, tufikirie tena kuwa na mashirika kama UDA na tuondokane kabisa na hili balaa!
Thursday, May 20, 2010
Subscribe to:
Posts (Atom)