Wednesday, November 23, 2011

Dear Tanzania community members,

We are sorry to announce that our brother Raphael Robert of Queens, NY has just lost his father yesterday the late Robert M Faida, who passed away November 21,2011 in Dar-es-salaam . All funeral plans are in progress to rest his father soul. For all Tanzania Community Members in Tri- States Area, who like give their condolences,
they can call Robert number 347-869-2230 or come home at this address 110 -04 -204 street
Hollis(Queens) NY 11412. Asanteni

The following accounts can be used to send your condolences
Raphael Robert Faida
citibank Checking A/C 13535020
Chase Checking A/C 1962301825

For more info. call Robert 347 862 2230
Shabani (Secretary) 347 712 8539
Hajji (Chairman) 347 623 8965
Miriam (Vice-Chair) 914 316 2814


Tuesday, November 8, 2011

Smokin’ Joe Frazier loses his battle against liver cancer

‘Smokin’ Joe Frazier loses his battle against liver cancer

Joe Frazier, one of the biggest sports icons of the 1960s and 70s, passed away tonight from liver cancer at the age of 67. He was diagnosed less than six weeks ago and spent his final days in a Philadelphia-area hospice.
His family released this statement:
"We The Family of the 1964 Olympic Boxing Heavyweight Gold Medalist, Former Heavyweight Boxing Champion and International Boxing Hall of Fame Member Smokin' Joe Frazier, regrets to inform you of his passing. He transitioned from this life as "One of God's Men," on the eve of November 7, 2011at his home in Philadelphia, Pennsylvania. We thank you for your prayers for our Father and vast outpouring of love and support.
Respectfully, we request time to grieve privately as a family. Our father's home going celebration will be announced as soon as possible. Thank you for your understanding."
In the weeks before his death, Frazier was said to have lost 50 pounds. Friends like Rev. Jesse Jackson and fellow heavyweight king Larry Holmes requested visits, but Frazier decided against it.
"Joe doesn't want to see anybody, the way he is now," his manager Les Wolff explained earlier this week. "I think you can understand why. He's a proud man."
Frazier's legacy is etched in stone as part of the greatest individual rivalry in sports history. The stocky, less-than-graceful Frazier was the perfect foil for the elegant and athletic Muhammad Ali.
Their trilogy, contested between 1971-75, tops everything else in boxing's long history. Frazier was the first person to defeat Ali.
Outside the ring, Frazier was helpless in the p.r. battle against the loquacious and charismatic Ali. Ali made it personal before their first meeting in 1971 calling the quiet Frazier an "Uncle Tom."
Both unbeaten, Frazier met Ali in New York City's Madison Square Garden on March 8, 1971 and got his revenge on Ali's trash talk by winning "The Fight of the Century" via unanimous decision. He cemented the victory by flooring Ali with a leaping left hook, his trademark punch, in the 15th round.
To illustrate the lack of respect Frazier received from some, veteran boxing writer Jerry Izenberg told the story of the fighter greeting some kids on the streets of his adopted hometown of North Philadelphia a week after the biggest victory of his career.

‘Smokin’ Joe Frazier loses his battle against liver cancer


















[...] Joe told them: "Now y'all stay in school.
Don't make me have to find you."
Two of them laughed, but the third one said:
"My daddy says Muhammad Ali was drugged,"
In that instant a cold, cold mask seemed to slide across the champion's face. "'Yeah ... yeah," Joe said, "I drugged him with a left hook." And they saw the look in his eyes and all three of them ran away.
Frazier turned to me and said:
"You heard that. What I got to do? What the hell I got to do?"
There was nothing he could do. Frazier, a reserved gentleman, was never going to win a trash talk battle against Ali. Ali went on to win the 1972 rematch against Frazier, again at MSG.
The third fight in the Philippines, "The Thrilla in Manila" trumped the first two. The back-and-forth battle, ended after 14 rounds because Frazier's eyes were nearly swollen shut. His trainer, Eddie Futch, argued with his fighter before calling it a night. On a night with the temperature in Manila hovered around 100 degrees, rounds 13 and 14 were grueling. Both fighters were completely exhausted, but still wailed away at each other.
Frazier fought just two more times. He lost badly to George Foreman in 1976 and fought to a draw during a short-lived comeback in 1981.
Frazier, the son of Rubin and Dolly Frazier. was born in the poor town of Beaufort, S.C. He was the youngest of 12 children. He relocated to Philadelphia as a teenager.
While working in a slaughterhouse, Frazier began to take boxing seriously. By the time he was 20, Frazier was one of the elite heavyweight prospects in the world. He stormed to the Olympic heavyweight gold medal in 1964 in Tokyo. Six years later, he was the king of the heavyweight division, winning the WBA belt with a fifth-round TKO stoppage of Jimmy Ellis.
Frazier was inducted into the International Boxing Hall of Fame in 1990. He finished his brilliant career with professional record of 32-4-1, with 27 wins by knockout.

Sunday, November 6, 2011

LEO NI SIKU ALIYOFARIKI BIBI TITI MOHAMED, MMOJA WA WANAWAKE WALIOKUWA WANAHARAKATI WA UKOMBOZI WA TAIFA LETU.

Bibi Titi Mohamed enzi za uhai wake.

 
Hapa akiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Bibi Titi Mohammed (1926 - 5 Novemba, 2000) alikuwa mmoja wa wanawake wa kwanza kushika nafasi za ubunge na uwaziri nchini Tanzania. Pia alikuwa kati ya wanawake wa kwanza kujiunga na harakati za kugombea uhuru wa Tanganyika.
Mwaka 1969 Bibi Titi Mohammed alikamatwa na mwaka uliofuata alifikishwa mahakamani kwa kosa la kula njama ya kutaka kupindua serikali. Katika kesi hiyo, Bibi Titi alikuwa ni mwanamke pekee katika washtakiwa 7. Baada ya kesi hiyo kusikilizwa alipatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha maisha. Hata hivyo, mwaka 1972 alisamehewa na rais Julius Nyerere.

Juu ya kutolewa kwake, Mohammed aliongoza maisha yake akiwa mpweke. Mume wake alimtelekeza wakati wa kesi, ushirika wake wa kisiasa ukanyang'anywa, na marafiki zake wengi wakamlani.
Mnamo mwaka wa 1991, wakati Tanzania ikisherekea miaka 30 ya uhuru, Bibi Titi ameonekana kwenye makaratasi ya chama tawala kama "Shujaa wa Kike Aliyepigania Uhuru".
Mnamo tar. 5 Novemba, 2000 Mohammed amekufa kwenye hospitali ya Net Care Hospital mjini Johannesburg ambapo alikuwa akitibiwa.
Moja kati ya mabarabara makubwa ya mjini Dar es Salaam yamepewa jina la Mohammed kwa heshima ya mafaniko makubwa aliyoyafanya wakati wa mbio za kutafuta uhuru wa Mtanzania.

Saturday, November 5, 2011

HATARI ILIYO MBELE KWA WAMACHINGA WANAOONGEZEKA KWA KASI KATIKA MATAA YA UBUNGO SERIKALI MNAIONA?

Trafiki Polisi akiongoza magari katika junction kubwa ya Ubungo, maarufu kama Ubungo Mataa.

Fuso ikiwa imeingia katika moja ya mtaro mkubwa ulioko bara bara ya Ubungo karibu na Ubungo mataa.

Kwa kipindi kirefu sasa eneo la Ubungo karibu na Mataa ya kuongozea magari yanayo ingia Jijini au yale yanayotoka pande mbili, mengine yakitokea Mwenge na mengine yakitoke Buguruni na kwenda sehemu mbali mbali za jiji limevamiwa na wafanya biashara ndogo ndogo maarufu kama Wamachinga.

Nimejaribu kulifuatilia kwa kipindi kirefu ili kuweza kujiridhisha kujua kama wamepewa ruhusa na nani kufanya biashara katika eneo lisilo rasmi, nilijaribu kuongea na wamachinga wachache; wa kwanza anaitwa Salum Ramadhan anauza taa za kichina katika eneo hilo, yeye alidai hawajaruhusiwa na mtu kufanya biashara hapo ila ni kutokana na ugumu wa maisha ndio umewapelekea kufanya biashara katika eneo hilo na wa pili naye Ndg. Deogratius Shirima akasema maneno hayo hayo ambayo hayapishani maana na huyu wa kwanza.

Sikuishia hapo nikataka kujua je kuna mtu yeyote ambaye anakuja kukusanya japo ushuru kutoka kwao? nao kwa pamoja wakasema kuna mtu huwa anakuja kukusanya ushuru lakini wao hawana uhakika kama ni kutoka Serikali za mitaa au la! nikawauliza swali jingine, huyu jamaa ambaye ameweka jenereta hapa na kuwapa huduma ya Umeme mnamlipa Sh. ngapi? wakasema kila taa 1 ni Sh. 1000/- nikapenda nijue sasa swali langu la msingi, wanajua HATARI iliyo mbele yao kutokana na kufanya biashara kando kando ya bara bara kubwa kama hii ambayo inapitisha magari mengi na hasa mengine yanakuwa yako kwenye mwendo wa kasi! wakasema wanaifahamu ila hawana jinsi wataenda wapi na maisha yenyewe ni magumu!
Kwa kweli nilitoka bila kuwa na jibu sahihi nini hatma yao kama gafla gari likitoka kwenye bara bara na kuwavama.
Tatizo hili naamini serikali wanaliona ila wanalifumbia macho na pindi ajali itakapo tokea ndio wanafumbua macho na kujua sehemu sio halali, ni vema serikali ikalichukulia hatua mapema kabla halija tokea la kutokea. Tumekua tukiona sehemu mbali mbali ajali zinatokea na kuua watu wengi ambao wapo kando kando ya bara bara kwa hiyo ni vema Serikali ikachukua tahadhari mapema.

Friday, November 4, 2011

HIVI WANAFIKIRI WATATUTAWALA MPAKA LINI?

Tanzanian clerics slam threat to link aid to gay laws


Tanzanian clerics on Friday urged their government to reject western pressure to legalise homosexuality in order to continue receiving aid.
A catholic auxiliary bishop, Methodius Kilaini, criticised British Prime Minister David Cameroon for saying African countries with anti-gay legislation could be disqualified from receiving British aid.
"Such threats are a reflection of colonial mentality. It is better to live in poverty than accepting and legalising practices that are against religious teaching, the law and African culture," Kilaini told AFP by phone.
Cameron made the threat after Commonwealth leaders failed to adopt a recommendation to call for an end to homophobic laws in the 41 member nations at their summit in Perth, western Australia.
Kilaini appealed to the Tanzania government and other African countries to strongly reject or ignore such "unholy" threats.
Sheikh Ali Mkoyogole said Islam was against homosexuality and same sex marriages. "This cannot be allowed by Muslims in Tanzania," he said.
Under Tanzanian law sex acts between men, including between consenting adults are illegal.
The US State Department's 2010 Human Rights Report found that "gays, lesbians, bisexual, and transgender (LGBT) persons faced societal discrimination, which restricted their access to healthcare, housing, and employment," in Tanzania.
Ngoma Africa Band na Nyimbo mpya za miaka 50 ya Uhuru,


Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa band" aka FFU,yanye makao yake nchini
Ujerumani,wameachia hewani CD mpya yenye nyimbo za miaka 50  ya Uhuru. Nyimbo zilizomo katika CD hiyo ni utunzi na uimbaji wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja akiimba kwa kushirikiana na Chris-B,mpiga solo wa kikosi hiko,habari za uhakika zimetonya kuwa nyimbo hizo zimetua pia katika blog mashuuriya Michuzi,pia vituo vya Redio vya Deutche Welle mjini Bonn,Radio VOA ya Washington, Radio Free Africa, Mwanza, vimepoke nyimbo hizo ambazo wakati wowote zinaweza  kutoa burudani kwa wananchi katika shamra shamra za miaka 50 ya uhuru.
Nyimbo hizo mbili (1) Miaka 50 Uhuru(rumba) na 2. 50 Uhuru Shangwe, Zinasikia pia at www.ngoma-africa.com

Thursday, November 3, 2011

NDUGU WATANZANIA,
KWA NIABA YA KAMATI YA MUDA YA UONGOZI WA CCM NJINI NEW YORK, NINAYO FURAHA KUBWA KUKUARIFUNI UZINDUZI WA UONGOZI WA MUDA WA TAWI LA CCM KWA MARA YA KWANZA MJINI NEW YORK NA MIKOA YA JIRANI IKIWEMO CONNECTICUT, NEW JERSEY, BOSTON NA PENNSYLVANIA. TAREHE 01/11/2011, MH. NAPE M. MNAUIA, KATIKA ZIARA YAKE FUPI HAPA JIJINI NEW YORK ALICHUKUA FURSA YA KUZINDUA UONGOZI WA MUDA AMBAO UTAPELEKEA KUWEPO NA UANDIKISHAJI WA WANACHAMA WA CCM NA UTARATIBU WA KUFANYA UCHAGUZI WA KAMATI YA KUDUMU KABLA YA UFUNGUZI RASMI WA TAWI HILO KATIKA KIPINDI KINACHO KUJA. HIVYO WATANZANIA WOTE AMBAO WANAPENDELEA KUJIUNGA NA CHAMA CHA MAPINDUZI NCHINI HAPA NA KULETA MAWAZO THABITI ILIKUENDELEZA UMOJA NA MAENDELEO NDANI NA NJE YA NCHI WANAKARIBISHWA MARA MOJA NA WANAWEZA KUJIANDIKISHA BILA KUCHELEWA KUPITIA SECRETARIATE YA MUDA ILIOPANGUA. MAENDELEO MAZURI KATIKA JAMII NI YALE AMBAO HUANZIA CHINI KWENDA JUU NA SIO KUANZIA JUU KWENDA CHINI.
AHSANTENI,
MASUDI H. MAFTAH, PHONE 646 500 4637
MWENYEKITI WA KAMATI YA MUDA CCM/ NEW YORK
 P.S KAMA UTAKUA NA NDUGU, RAFIKI AO JAMAA AMBAE HAKUPATA HII ILANI, TAFADHALI MTUMIE

Monday, October 31, 2011

Sunday, October 30, 2011

Thursday, October 27, 2011

Feds pressure African dictator's son to surrender Ferrari, Michael Jackson's glove


The U.S. government may soon own one of Michael Jackson's white gloves, a $530,000 Ferrari and a $30 million Malibu estate if it succeeds in seizing them from the son of a corrupt African dictator.

In a case kept hidden from public view until last week, the U.S. Department of Justice says it's pursuing more than $32 million in assets from Teodoro Nguema Obiang Mangue, whose father Teodoro Obiang Nguema Mbasogo has ruled over oil-rich Equatorial Guinea for 32 years -- and has been accused by authorities around the world of illicitly siphoning hundreds of millions of dollars for himself and his family.
A 2010 U.S. Senate report detailed how Obiang the younger, known as Teodorin, had moved $110 million into the United States through shell companies and anonymous transactions, propping up a hard-partying lifestyle that included spending $30 million on one of Malibu's largest mansions and a $38.5 million Gulfstream V jet. Obiang was also known to collect supercars like they were Hot Wheels, with at least 32 cars and motorcycles at one point, including eight Ferraris, two Bugatti Veyrons and a $2 million Maserati.



While the U.S. Department of Justice has said a probe into Obiang had been ongoing since 2004, the first signs of legal trouble for Obiang came from France, where authorities seized 11 of his cars last month, including the $2 million Maserati MC-12. While the Justice Department had sought seven cars from Obiang in California, its latest request mentions only one -- a 2011 Ferrari 599 GTO.

The documents unsealed last week in U.S. District Court in Los Angeles offer the first glimpse of the case built by the Justice against Obiang, accusing him of spending more than $100 million garnered from extortion and embezzlement in Equatorial Guinea. The feds also revealed how Obiang bought $3.2 million worth of memorabilia from Michael Jackson's estate earlier this year, including the white crystal-studded glove Jackson wore on the "Bad" tour, the MTV Music Video Award for "We Are The World" and several of the life-size figurines Jackson used to keep at his Neverland Ranch.

So far, no representatives of Obiang's has officially responded to the government's bid, and the Justice Department has not yet responded to a request for comment from Yahoo! Autos. Human Rights Watch, an advocacy group long critical of inaction against the Obiang family, has called on the United States and other countries to move against the clan despite their control over a key oil supply.

“The move to freeze Teodorín’s assets in the U.S. is overdue,” said Arvind Ganesan, business and human rights director at Human Rights Watch, in a statement. “But the real test will be if the U.S. government vigorously pursues the inquiry to its conclusion without letting diplomatic or business ties stand in the way.”
Note: Comments have been disabled for this article. If you would like to comment, please follow Yahoo! Autos on

Wednesday, October 26, 2011

DO YOU KNOW IT ENGINEER FRANCO CHANDE?
IT Engineer Franco Chande.

Franco Chande is among of IT Engineer in Tanzania, had an experience in computer Maintenance( Assembling and Installation), Computer Networking, (LAN/WLAN) and Configuration of any IT devices (Servers, Routers, Modems, etc.)

According of the shortage of IT Expert in Tanzania, Franco Chande advice every young boys and Girls to join in this field to help our Nation and to make sure we develop our Country in this Industry, which is running the World.

Tuesday, October 25, 2011

MHASIBU MKUU DELMORE COMPANY - AFRICA DENIS FULGENCE AUAGA UKAPERA.

Maharusi wakiingia Ukumbini kwa kwa furaha na Stail ya aina yake.

Bwana na Bibi Denis Fulgence wakiwa katika pozi la kipicha zaidi.

Mr and Mrs Stephen Malakasuka nao hawakuwa nyuma katika kushereheka pamoja katika harusi ya Wapendwa wetu Maharusi.
Bi Harusi Ajimbo Fulgence akiwaongoza wageni waalikwa kwenda kwenye kuchukua chakula kilichoandaliwa na wataalam wa upichi wa Bufee ndani ya Ukumbi wa Beach Komba.

HONGERENI SAAANAA!! MMEPENDEZA.

Monday, October 24, 2011


One killed, 8 wounded in Nairobi blast







A grenade thrown into a downscale Nairobi pub early Monday exploded and wounded a dozen people two days after the U.S. warned of possible terror attacks in Kenya's capital. Police said it was too early to name a suspect.
Any such attack in Nairobi would immediately arouse suspicion that Somali militants from al-Shabab carried out the assault. The al-Qaida-linked group earlier this month promised to unleash terror attacks in Nairobi in response to a push by Kenya's military into southern Somalia.

Monday's grenade explosion, though, did not bear the hallmarks of well-planned terror attack. The U.S. on Saturday warned of an imminent terrorist attack and said likely targets include shopping malls and night clubs where foreigners congregate. Conversely, the grenade explosion occurred at a downtrodden bar where only lower-income Kenyans meet.

Police Commissioner Mathew Iteere told a news conference Monday that the grenade exploded at 1:15 a.m. while 20 people were inside the bar. Three people were seriously wounded, he said. The blast overturned chairs and tables, and blood stained the floor. Iteere said police did not yet have any suspects.

"It is too early at this point in time to give a conclusive answer," he said, adding later: "The person who lobbed the grenade into the pub was not seen by anybody."

Police have tightened security around hotels, bridges and fuel depots, Iteere said.

The weapon used Monday was a Russian-made F1 grenade, he said. A similar type of grenade was used in a downtown Nairobi attack in December 2010 at a bus station. That attack killed one person.

Three grenades exploded at a political rally in downtown Nairobi in June 2010, killing six people. In December that year two traffic police died when they were shot and a third was seriously injured by a grenade.

___

Monday, October 17, 2011

AIBU GANI HII BADO INAENDELEA KULIKUMBA TAIFA LETU!

Jeshi la Polisi nchini (PT) kupitia Inspekta Generali wake Said Mwema(Pichani) imetangaza dau la Shilingi Milioni 5 kwa mtu yeyote atakaefanikisha kupatikana kwa mtu aliyemjeruhi mtoto Adam Robert (14) ambaye ni Albino huko Geita ambapo mtu asiyejulikana alimvamia mtoto huyo na kuanza kumkata kata mikono na kisha kutoweka na vidole vya Albino huyo.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia mwishoni mwawiki katika Kijiji cha Nyaruguguna, Kata na Tarafa ya Nyang’hwale ambapo mlemavu huyo, Adam Robert (14), mwanafunzi wa darasa la nne, alivamiwa na kukatwa mkono wa kulia na kisha kunyofolewa vidole vitatu vya mkono wa kushoto.
Ni jambo la kusikitisha sana kuona vitendo hivi vinaendelea kutokea na mwisho wa siku jeshi linataka kutumia fedha za walipa kodi kwa ajili ya kuwapata wahalifu hao, mi nadhani hii njia sio sahihi, sidhani kama Jeshi la polisi wanashindwa kuwapata hawa wanaowatuma wahalifu kwenda kuwadhuru maalbino hawa. Jambo la msingi hapa sio kutangaza dau ni kuhakikisha wale wanaowatuma ndio wanakamatwa na ninaamini jeshi la polisi likishirikiana na usalama wa Taifa inawezekana kuwakamata hawa na kuwatokomeza kabisa, usalama wa Taifa wanafanya kazi gani kama sio pia na kuangalia usalama wa Watanzania hawa!
Ni aibu kubwa kwa Taifa letu vitendo hivi vinavyoendelea.