Friday, June 29, 2012


Italy beats Germany 2-1 to reach Euro 2012 final

Italy's Mario Balotelli scores his team's second goal by Germany's Philipp Lahm during the Euro 2012 soccer championship semifinal match between Germany and Italy in Warsaw, Poland, Thursday, June 28, 2012.
Italy's Mario Balotelli celebrates after scoring his scond goal during the Euro 2012 soccer championship semifinal match between Germany and Italy in Warsaw, Poland
Italy's Mario Balotelli is awarded the yellow card by referee Stephane Lannoy of France during the Euro 2012 soccer championship semifinal match between Germany and Italy in Warsaw, Poland, Thursday, June 28, 2012.

Thursday, June 28, 2012

SHEREHE YA SENDOFF YA DORIS KASAKA (KAPINGA) ILIVYOFANA USIKU WA JANA NDANI YA DELUXE HALL SINZA.

Doris Kasaka (Kushoto) akiwa na mpambe wake jana ndani ya Deluxe Hall Sinza wakati wa sherehe ya kumuaga (Sendoff) na kumpongeza kwa kufanya maamuzi mazuri.

Mama Mkubwa wa Doris Mama Angelina Mwami akiwakaribisha wageni wakati wa sherehe ya Binti yake ndani ya ukumbi wa Deluxe Sinza.

Baba Mkubwa wa Doris Mzee Njelu Kasaka akiwakaribisha wageni katika sherehe ya kumuaga Binti yake ndani ya Ukumbi wa Deluxe Sinza jana usiku.

Meza kuu ya wazazi wa Doris kutoka kulia ni Mama Njelu Kasaka, Mzee Njelu Kasaka, Dr Mwami na mwisho kushoto ni Mama Mwami.
Doris akipiga picha ya kumbukumbu na wafanyakazi wenzake kutoka Zantel.

Wednesday, June 27, 2012

Spain tops Portugal in shootout to make Euro final


Still not pretty to watch, still just as effective.
Spain again failed to dazzle at the European Championship yet still advanced to its third straight major championship final, beating Portugal 4-2 in a penalty shootout Wednesday following a scoreless draw after extra time.
"We're playing better in defense than what the characteristics of our players would suggest," Spain coach Vicente del Bosque said. "That's what earns victories."
After earning plaudits for the eye-catching one-touch passing that helped Spain win titles at Euro 2008 and the 2010 World Cup, this year's team is struggling to create chances. Against Portugal, the defending champions managed only one quality shot in regulation time.
It didn't matter, though, because the Spanish still came through when it mattered. Cesc Fabregas, who came on as a substitute in the second half, scored the deciding penalty after Bruno Alves hit the crossbar for Portugal moments earlier.
"I played poorly, but the team worked really hard," Fabregas said. "I had this intuition that we could advance if we went to penalties and that's what we did."
Spain will next face either Germany or Italy on Sunday in Kiev.
"Being in another final is a miracle," Fabregas said. "It's really incredible."
Cristiano Ronaldo had several chances for Portugal, but he sent three shots well over the crossbar as his team held its own for the entire match. The Real Madrid star, who came alive with three goals in his last two matches at the tournament, did not take a penalty in the shootout. He had been slated to take the fifth one, but it never got that far.
"Our players trained and were prepared for a situation like this," Portugal coach Paulo Bento said. "We didn't have much luck."
After an often dour opening 90 minutes, the match livened up in the 30 minutes of extra time.
Spain midfielder Andres Iniesta forced Portugal goalkeeper Rui Patricio into a superb reflex save in the 103rd minute. Iniesta ghosted into the penalty area then held his head in disbelief as Rui Patricio reacted brilliantly to get a strong hand on his shot after Jordi Alba cut the ball back toward the penalty spot.
Rui Patricio made another fine save to deny substitute Jesus Navas in the 111th.
"Both teams were stronger in defense in the first 90 minutes, but that balance was broken in extra time," Spain coach Vicente del Bosque said.
Tempers frayed at times, with Portugal center half Pepe getting a yellow card for a challenge on Xabi Alonso as they went for a high ball. Ronaldo also received some heavy challenges late in the match.
In the shootout, Xabi had the first attempt saved by Rui Patricio before Spain goalkeeper Iker Casillas saved Joao Moutinho's shot. Iniesta, Gerard Pique and Sergio Ramos then all scored for Spain, while Pepe and Nani answered for Portugal.
"The first one wasn't so lucky, and then we scored the rest of them," Casillas said. "Yes, we really were lucky. Everything is about luck sometimes."
Del Bosque ditched his unorthodox 4-6-0 formation for Wednesday's match and opted for a traditional striker — but not the one many expected. Instead of Fernando Torres, it was Alvaro Negredo that got the start up front. But 10 minutes into the second half, Del Bosque replaced him with Fabregas.
Although Negredo worked hard, his lack of movement made him easy to mark. Spain improved as Fabregas made clever runs to stretch the defense and the defending champions dominated most of extra time with the substitution of Pedro Rodriguez for midfielder Xavi Hernandez late in the match.
"I think we were better in the first 90 minutes. Then in extra time we were less efficient," Bento said. "When we couldn't take advantage of our opportunities, Spain got stronger."
Rui Patricio was a big help in goal for Portugal, but much more was expected from Ronaldo. The winger had a chance, albeit a difficult one, to win the game in the 90th minute when Portugal poured forward after clearing a free kick. But Raul Meireles' pass was fractionally behind Ronaldo and, with momentum lost, he had to check his run and sent his shot high and wide.
Ronaldo briefly threatened early in the first half, whipping over a cross from the left wing that Casillas grabbed before Nani could head it in. He also sent a free kick into the wall after too easily tumbling under a challenge.
Working as a unit, Portugal started to gain the upper hand midway through the first half. Moutinho flicked the ball into the path of Ronaldo, whose wild shot flew over the net.

Tuesday, June 26, 2012

KUTOKA BUNGENI LEO HII


 
Zitto Kabwe akiuliza  swali dogo la nyongeza ''kuwa toka tupate uhuru hajawahi sikia Mkuu wa Majeshi (JWTZ) akitoka upande wa pili wa Muungano Je ni kwanini ?

Waziri wa Ulinzi  Shamsi Vuai Nahodha akamjibu '' kuwa hilo ni suala la wakati kwani hivi sasa kuna majenerali wanne wako makao makuu huenda huko mbele mmojawapo akapata bahati hiyo.

Lakini akaaamsha chereko na makofi kwa wabunge pale aliposema kuwa hata yeye anajiuliza ni lini ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mwenyekiti wa chama atatoka Kigoma ?

Baada ya hapo kama kawaida ikawa ni kugonga meza kwa furaha na vigelegele Bungeni
hali iliyomfanya Mwenyekiti anaeongoza kikao asbuhi hii kuingilia kati.
Mbunge wa Kikawajuni, Massauni Yusuf Masauni akichangia mjadala wa Hotuba ya Ofisi ya Waziri ya Bajeti ya Mwaka 2012/13, akizungumzia mikakati mablimbali inayotakiwa kundelezwa na Serikali likiwamo swala Vyuo vya Ufundi VETA vimesadia sana kutoa ajila kwa vijana ingawa swala kwa vija bado linaumiza vivwa watu

Monday, June 25, 2012

NYAMA CHOMA YA KUMUAGA BWANA SENETA MAKONGORO YAFANA SANA!















Saturday, June 23, 2012

DIANA HUSSEIN AFANIKIWA KUNYAKUA TAJI LA MISS DAR INDIAN OCEAN 2012


Mrembo Diana Hussein (kati) amefanikiwa kunyakua taji la Miss Dar Indian Ocean kutoka kwa mwanadada Stella ambaye amemaliza muda wake, mwanadada huyu alifuatiwa na Kudra Lupatu (kulia) na Zulfa Vuai (kushoto). Shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 limefanyika ndani ya Kijiji Cha Makumbusho Dar es Salaam

Picha kwa hisani ya http://kajunason.blogspot.com/

Friday, June 22, 2012

BREAKING NEWS kusitishwa mgomo wa madaktari na MAHAKAMA


Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa amri ya kusitisha mgomo wa Madaktari

Kufuatia Tangazo la Chama cha Madaktari nchini (MAT) la kuanza mgomo siku ya Jumamosi tarehe 23 Juni, 2012, Mahakama Kuu ya Tanzania,Kitengo cha kazi,Dar es Salaam imetoa amri ya kusitisha mgomo huo mpaka hapo pande zote mbili yaani Serikali na Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) yatakaposikilizwa na kutolewa uamuzi.

·        Amri hiyo ya Mahakama imetolewa kufuatia maombi namba 73 ya 2012 yaliyowasilishwa chini ya hati ya dharura na Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Chama cha Madaktari Tanzania (MAT).Sababu za msingi amabazo zimepelekea Mahakama kuu kutoa amri hiyo upande mmoja ni pamoja na;

·        Iwapo mgomo huo utatokea utakuwa na kuwa amri hii isipotolewa madhara yake ni makubwa isiyoweza kufidiwa kwa namna yoyote ile kama vile kupoteza maisha n.k

·         Wajibu maombi,ambao ni MAT, inaundwa na Madaktari ambao wapo katika Sekta ambayo inatoa huduma mahsusi (essential service sector), Aidha Chama cha Madaktari Tanzania kimetangaza mgomo bila kufuatia taratibu zilizoanishwa katika Kifungu cha 76(1 na 2) cha Sheria ya Kazi (Employment and Labour Relations Act No 6 ya 2004.

Masharti hayo ni
·        Kuzuia wafanyakazi walio katika Sekta Muhimu kugoma na kama wakigoma,
·        Kuwepona makubalianao ya pamoja ya kutoa huduma za msingi wakati mgomo ukiendelea.
Kwa misingi hii,Mahakama Kuu ya Tanzania, kwa Chama cha Madktari Nchini na wanachama wake kusitisha na kutoshiriki katika mgonmo huo.

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, (katikati)  na Mbunge wa Singida, Mohamed Dewji (kulia) nje ya viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole- Sendeka (kushoto) na Mbunge wa Gando, Khalifa Suleiman Khalifa  (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini  Dodoma, leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Simanjiro,Christopher Ole Sendeka (kushoto)  na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Ester Bulaya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.

DEIDRE LORENZ AFURAHI NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA UPENDO CHA MJINI MOSHI




Mcheza sinema maarufu wa Marekani, Deidre Lorenz, ambaye alitua mjini Moshi jana kushiriki kwenye mbio za kimataifa za Mt. Kilimanjaro Marathon leo alikaa na watoto Yatima wa kituo cha Kituo cha kulelea yatima cha Upendo kinachoendeshwa na masista wa shirika la Precious Blood mjini Moshi. 

Lorenz aliingia kwa kishindo katika Manispaa ya Moshi na kueleza juu ya nia yake ya kuitangaza Tanzania nchini Marekni kwa kutumia usanii wake wa filamu.

Deidre Lorenz anashiriki katika mashindano ya Mt. Kilimanjaro Marathon ambayo yanaanza kutimua vumbi tarehe 24 Jumapili kuanzia Moshi klabu hadi Rau madukani na kurudi. Mbio za Mt.

 Kilimanjaro Marathon zilianzishwa na Marie Frances kutoka katika mji wa Bethesda nchini Marekni mwaka 1991 baada ya kuombwa na balozi wa zamani wa Tanzania nchini Misri kuja Tanzania kuanzisha mbio za marathon.

Deidre Lorenz anawakilisha kikundi cha Actors Guild ambacho kina lengo la kukusanya pesa kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa saratani. Katika ziara yake kwenye kituo cha watoto yatima cha Upendo Deidre aliwasomea watoto hao hadithi mbalimbali za watoto. 

Aidha, aliwapa zawadi za fangi za kuchora, vitabu, daftari, kalamu, chocolate na zawadi nyingine kemkem zinazowaelimisha watoto.

Lorenz ameshiriki pia katika mahojiano na waandishi mbalimbali wa habari mjini Moshi na kueleza kuhusu nia yake ya kuitembelea Tanzania mara kwa mara. Amesema kuwa wazazi wake hususan bibi yake alimwambia kuwa Tanzania ni nchi yenye wanawake wenye sura nzuri sana.

 Aidha marafiki zake wamemwambia kuwa aje yeye kwanza ili wao waje katika mbio zinazofuata.

Klabu ya Mt. Kilimanjaro Marathon 1991 inakusudia kuwatumia watu maarufu kuja Tanzania ili waweze kuutangaza utalii pamoja na mazingira ya kuwekeza. Klabu hii ina lengo la kuanzisha marathon nyingine tena ambayo itajumuisha mbio na michezo mingine ya uwanjani.

“Tutakuwa na wiki nzima ya mashindanio ya uwanjani na siku ya saba tutafanya mbio za marathon” alisema Rais wa Klabu hiyo Onesmo Ngowi alipokuwa anazungumza na waandishi wa bahari hapa Moshi. Ngowi alieleza kuwa ni muhimu Moshi/Tanzania ikawa na mashindano ya michezo mingi itakayowavutia watalii na wawekezaji wengi kuja Tanzania.

Akielezea kuhusu mikakati ya klabu yake kuendeleza mchezo wa riadha Ngowi ambaye pia ni Rais wa IBF/USBA katika bara la Afrika, Mashariki ya kati na Ghuba ya Uajemi alisema kuwa wameweka mikakati mingi itakayoifanya mji wa Moshi kuwa kitovu cha utalii katika mkoa wa Kilimanjaro.

Hizi mbio ni sehemu tu ya mikakati ya kuendeleza michezo katika mkoa huu ambao miaka ya sabini ulikuwa unaongoza kwa michezo katika nchi hii. “Tutashirikiana na mashirikisho ya michezo ya ndani na nje kuinua viwango vya wanamichezo wetu” alisema Ngowi ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Michezo katika mkoa wa Kilimanjaro. 

Alisema kuwa wameandaa mikakati mingi na kumalizia kuwa Tanzania ni yetu sote kwa hiyo tuna jukumu la kuchangia katika maendeleo yake.

Deidre Lorenz atakimbia mbio za Mt. Kilimanjaro Marathon jumapili ijayo na ataondoka usiku wa jumapili kurudi nyumbani kwake New York jiji linajulikana kama “The Big Apple” na Financial Capital of the World (Jiji la Fedha Duniani)

MANJI A APIGA MAGOTI KWA WANACHAMA WA YANGA, ATUA JANGWANI KUFANYIWA USAILI

Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji, akizungumza jambo jambo na mmoja wa wa wanachama wa klabu hiyo, Rukia Mohamed, wakati alipofika Makao Makuu ya klabu hiyo iliyopo mitaa ya Jangwani jijini Dar es Salaam leo,  ambapo alifika kwa ajili ya kufanyiwa usaili kwa ajili ya uchaguzi mdogo utakaofanyika Julai 15, mwaka huu.

Beki wa zamani wa Klabu ya Simba, aliyekuwa na ndoto lukuki ya siku moja kuvaa jezi ya rangi ya Njano na Kijani na kuichezea Klabu ya Yanga, Kelvin Yondan, (wa Pili kushoto), aliyesajiliwa hivi karibuni akishiriki na wachezaji wenzake wakati akikaribishwa na wachezaji hao alipofika kwa mara ya kwanza kushiriki mazoezi ya timu hiyo, leo yaliyofanyika  Uwanja wa Kaunda Dar es Salaam.

PICHA MBILI ZA CALVIN YONDANI BAADA YA KUANZA MAZOEZI NA YANGA LEO.


.
Kelvin Patrick Yondan beki wa kimataifa wa Tanzania ameanza mazoezi rasmi leo katika klabu yake mpya, Yanga SC ambapo alitinga maeozini asubuhi na kushangiliwa ile mbaya na mashabiki wa klabu hiyo Uwanja wa Kaunda, Jangwani, Dar es Salaam. Picha tofauti zikimuonyesha Yondan mazoezini Yanga. (Picha zote zimepigwa na bongostaz.blogspot.com)

WABUNGE INCHIN ZIMBABWE WATAHIRIWA KUTOKOMEZA HONGEZEKO LA HIV

Wabunge karibu 10 inchi Zimbabwe wametahiriwa kama njia moja wapo ya kupunguza hongezeko la ukimwi, nche ya bunge la Zimbabwe kulijengwa hema mahalumu kwa shunguzi hizo za tohara kwa wabunge. Blessing candulo ambae ni mwenyekiti wawabunge wanaopambana na hongezeko la mahambukizo ya ukimwi nchini humo, amesema nia yake hasa ya yeye kuamua kupashwa tohara ni kuchochea wanaume nchini Zimbabwe kutairiwa. Bwana Chebundo amesema kuna zaidi ya wabungu 120 na wafanyakazi wa bungeni wameonesha nia yao ya kutaka kutairiwa. Shirika la afya duniani WHO linasema kupasha tohara kuna punguza hatari ya wanaume kuambukizwa virus vya ukimwi kwa %60. Zimbabwe ni moja wapo mwa mataifa 13 barani Africa mwaka 2007 shirika la WHO linasema kuna haja kubwa ya kuanzisha harakati za kutairi wanaume. Jana wabunge hao walijitokeza hadharani kupimwa ukimwi. wabunge hao wanachochea hili wanaume wote wajitokeze kufanyiwa tohara kwani takwimu ya nchi inzima inaonesha kuwa %15 wanaume inchini huko wameambukiwa virus vya ukimwi na hiyo inatokana  na wanaume inchini, Zimbabwe hawajatairiwa.

HAPPY BIRTHDAY CEO OF FUNDI WA KOMBO.BLOG SPOT

 

Wishing an amazing day and many great things to come to a wonderful person. Happy birthday brother, Fundi Kombo Ramadhan, From NY.

CHAMPIONS!!!

THE HEAT WAS TOO MUCH FOR THE THURNDER...

Best player in the game. Best team in the league.
Now NBA champion, too.
LeBron James is finally savoring it all since taking his talents to South Beach.
"Happiest day of my life," he said.
James had 26 points, 11 rebounds and 13 assists, leading the Heat in a 121-106 rout of the Oklahoma City Thunder on Thursday night to win the NBA Finals in five games.
All that was left was a celebration nine years in the making — and two years after his acrimonious parting from the Cavaliers.
"It means everything," James said moments before being named the playoffs MVP to go along with his regular-season award. "I made a difficult decision to leave Cleveland but I understood what my future was about ... I knew we had a bright future (in Miami). This is a dream come true for me. This is definitely when it pays off."





Tuesday, June 19, 2012

AFRICAN THEME - NYC PARTY FOR JESCA'S BDAY (CRAZZIIIE TURNOUT)

This was a NITE to remember, the most difficult part was to let a person like JESS approve a budget to be able to party like we wanted to. Balling on a budget is never fun! We were able to meet in the middle and did not spend too much. At this event people showed up from every corner, from DC to Ohio all the way even from Texas. Everyone was delightfully dressed in their top African wear and as the nite passed they changed clothing to throw down. Anywhere, where kuna wabongo it's guaranteed you have to start MDUARA for them to get hyped. As a DIASPORA for the TZ Community the best example we can serve for people back home is showing unity. Maybe politics and business isn't our best endeavor but just by simply getting together and having fun, gives our people back home HOPE & HEART. People miss BONGO, meeting up gives you a little bit of that back. 

From Left: Miraj from Houston TX , Johnson(myself), Shilla & Farida from CT and BDAY girl JESSIE
Sangria, Wine, Vodka, Snacks & Everything You Need in the Left Corner
Jessie with Eliza n Reine posin in the kitchen before the festivities
The Main Man from Bongo, Dean Nyalusi showed up representing in proper theme wear
Jessie posin with childhood friend Linda, these two have grown with each other for almost 15yrs
DJ DAVE, original Nyaki brother on the one & twos
Mambo hayoooooooooooo, Everyone gettn warmed up and reminiscing days back in BONGO
BDAY with Tim havin a blast
We partyed till 7am, the SUN found us smiling from yesterday's MADNESS
Lulu from Roosevelt Island na BDAY girl Jesca,  kwa picha zaidi bofya (read more)