Thursday, January 31, 2013

Swapping Hollywood for Bollywood! Judi Shekoni dances in gold bikini on Mumbai beach as she shoots new film


New Bollywood star: Judi Shekoni wears a revealing gold bikini as she shoots scenes for her new film Club Dancer in Mumbai on Thursday

The 30-year-old, who is now a regular at Hollywood red carpets events, has clearly made the decision to broaden her horizons and try her hand at a Bollywood film.
And the British actress seemed to be a natural as she perfected the dance moves on the sands of the Arabian beach, showing off her Amazonian figure in the tiny bikini.

Adding an open lace white dress over the top of the metallic swimwear, the star emerged from the sea with her arms outstretched as the cameras rolled.
She's got the moves: The Twilight star dances around on the sand after swapping Hollywood for Bollywood
New industry: After making her name in Hollywood, Judi has decided to try her hand in Bollywood films

With her long black hair flowing down her back, the Breaking Dawn Part II actress pulled off a sultry look as she made eye-contact with the camera.

Judi then showed off her Bollywood dance moves barefoot on the wet sand, with a group of professional dancers behind her, in traditional style.

Despite looking on fine form, the actress had tweeted that she'd been feeling unwell on her flight just a few days before.

Amazonian: Judi makes the most of her killer figure as she poses for a series of sultry shots
'I have a cold so nose blocked & now both ears haven't popped from plane :( Feel like I'm trapped inside of a pillow! How do I pop my ears?,' she wrote to her followers.
But she seemed to perk up when she landed and kicked off her Indian trip with a series of radio interviews to promote her forthcoming film.
The day before leaving for Mumbai, Judi had stopped by the Sundance Film Festival in Utah to catch some screening. 
Change of pace: The British actress reclines on a sun lounger as the camera rolls

WANAWAKE HUPENDA KUFANYA MAPENZI JUMAMOSI SAA 5 USIKU

Utafiti mpya na wa kina kabnisa umeonesha kuwa asilimia 85 ya wanawake duniani kote huwa wanafanya mapenzi saa 5 usiku kila Jumamosi.


Kwa mujibu wa utafiti huo uliozingatoa vigezo vya kibinadamu, saa 5 usiku siku ya Jumamosi ndiyo muda ambao wanawake wengi wanajisikia hamu ya kufanya tendo la ndoa kuliko muda mwingine wowote katika siku saba za wiki.
Asilimia 85 ya wanawake waliohojiwa katika utafiti wa kiafya, walikiri kufanya kujisikia zaidi hali ya kutaka kufanya mapenzi muda huo katika siku ya Jumamosi kuliko muda mwingine wowote.


Utafiti mkubwa ulifanywa katika nchi za Kusini Mashariki, Magharibi Mashariki na meneo ya Scotland ambapo wanawake walisema muda huo mwili wenyewe huwa unahitaji kukutana kimwili na wanaume wenye uzoefu wanalijua hilo bila kuombwa wanapokuwa kitandani.

Aidha, utafiti mwingine umebaini kwamba, asilimia 75 ya wanawake duniani kote wanapenda kufanya mapenzi mara tatu kwa wiki, ikiwemo siku hiyo ya Jumamosi.
Kazi iko pale ambapo utafiti umeonyesha kuwa asilimia 25 ya wanawake dunaini kote hupenda kufanya mapenzi kila siku katika muda wa siku saba. Kundi hili la wanawake ndilo linalohusika zaidi na usaliti katika uhusiano na pia watafiti wanadai kuwa, katika asilimia hiyo 25, 23 hukumbwa na maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.

JENEZA LAKUTWA SOKO KUU MWANZA KIONGOZI WA WAFANYABIASHARA SOKONI HAPO NDIYE MUHUSIKA.


Katika hali isiyokuwa ya kawaida kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa soko kuu la jijini Mwanza leo amezuwa sokomoko na taharuki kwa wafanyabiashara wa soko hilo mara baada ya kukutwa na jeneza la kusafirishia maiti katika sehemu yake ya biashara tena juu ya magunia ya viazi sokoni hapo.


Aliyezua taharuki hilo ni mwenyekiti wa wafanyabiashara wa soko kuu la jijini Mwanza ambaye pia ni mfanyabiashara wa viazi wa soko hilo Bw. Hamad Nchola ambaye alikuwa hakuwa na majibu ya moja kwa moja balimajibu mafupi mafupi yasiyoridhisha wakati akihojiwa na waandishi wa habari.

Baadhi ya wafanyabiashara na wanunuzi wakijadiliana juu ya kuwepo kwa jeneza hilo katika eneo la banda la biashara la mwenyekiti soko kuu la Mwanza.


Jeneza juu ya magunia ya viazi ndani ya banda la biashara la mwenyekiti.


Bw. Hamad Nchola ambaye ni mwenyekiti wa wafanyabiashara soko kuu la Mwanza aliyezua balaa. 


Naye Mwenyekiti huyo akijitetea kuhusu sakata hilo amesema kuwa aliamua kufanya uamuzi huo wa kuhifadhi jeneza hilo sokoni hapo kwenye sehemu yake ya biashara mara baada ya kulichukuwa kutoka msikitini akisubiri usafiri kulipeleka hospitali ya Rufaa ya Bugando kuuchukuwa mwili wa mke wa mfanyabiashara mwenzake sokoni hapo ambao ulipaswa kusafirishwa kuelekea wilayani Magu kwa mazishi.


Alipohojiwa kwa nini asingeliacha jeneza hilo msikitini au kulipeleka nyumbani kusubiri muda muafaka badala ya kulihifadhi sokoni hapo ambako kunatambulika kuwa ni sehemu mahususi kwaajili ya biashara ya mazao na chakula pamoja na kuwa na watu wenye imani tofauti, mfanyabiashara huyo alisema aliamua kufanya hivyo kwakuwa hakuona shida na alifanya hivyo kama wafanyabiasha wengine na kwamba inshu hiyo imekuwa kubwa kwa kuwa yeye ni kiongozi.



Kisha akaongeza kuwa kufanya hivyo siyo tatizo na jeneza hilo ni mbao tu na siyo kitu cha kustaajabisha na aliamua kulihifadhi eneo la biashara yake kwa kuhofia kuwa lingenyeshewa na mvua.

Baadhi ya wafanyabiashara na wanunuzi wakichungulia eneo la banda la biashara la mwenyekiti ambapo kuna jeneza hilo.


Pamoja na kuwa na kigugumizi kujibu kuhusu muda alilolileta jeneza hilo sokoni hapo kwamujibu wa mmoja wa walinzi ambaye hakutaka jina lake litajwe alisema kuwa jeneza hilo liliingia sokoni hapo mapema alfajiri wakati hakukuwa na wafanyabiashara sokoni hapo hali ambayo ilimshitua na mlinzi huyo akashindwa kuhoji kwakuwa ni mfanyabisha huyo ni bosi wake.


Hata hivyo baadhi ya wafanyabiashara waislamu wamepinga vikali kuwa jeneza hilo si mali ya misikiti kwa kuwa waumini hao hawatumii masanduku ya miundo hiyo hususani hilo lenye tundu la kuagia, zaidi ya kutumia majeneza yenye mikono minne hivyo wamemtaka kiongozi huyo kuhojiwa zaidi juu ya sakata hilo.



Vijana wakifanya mchakato kuliondoa jeneza hilosokoni hapo toka kwenye banda la biashara la mwenyekiti.



Hatimaye Jeneza hilo liliondoshwa sokoni hapo na vijana waliolibeba msobemsobe kwenye majira ya saa 4 asubuhi ya leo lisijulikane lilipoelekea.

Serbian prime minister left speechless when glamorous interviewer has ‘Sharon Stone moment’ during TV prank

London, Jan. 31 (ANI): Serbian Prime Minister Ivica Dacic was taken aback after his pantyless female interviewer uncrossed her legs in a prank, which reflected of Sharon Stone’s famous scene from her movie ‘Basic Instinct.’
The Prime Minister stumbles over his words but cannot avoid a cheeky smile
Scroll down for video..

The word “censored” flashes up on the screen to hide the interviewer’s modesty while the smiling PM looked thrown by the turn of events, the Mirror reported.

The PM was invited to speak about the political situation in the Balkans and Serbia’s adherence to the European Union. Instead, Ivica Dacic ended up in front of a fake journalist featuring a good-looking silhouette and a very sexy outfit. In fact, she was an actress hired to play a farce to the Serbian politician.
A close-up shot reveals the presenter’s wardrobe indiscretion but fortunately her lack of modesty is censored for the viewers

As can be seen in the video footage, before the prank interview, the hostess took care to give up her underwear in order to remake Basic Instinct’s renowned scene played by Sharon Stone.

The trick was planned for an online Serbian prank show called Nemoguca Misija (translated as “Mission Impossible”).

BALOZI IIDI AWAJULIA HALI WALIONUSURIKA KIFO KATIKA AJALI YA JAHAZI LILILOKUWA LIKITOKEA TANGA KWENDA ZANZIBAR

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akimfariji mmoja kati ya abiria waliokua katika Jahazi la Sun Rise, Juma Ali Jaku , iliyopata ajali na kuzama kati ya Tanga na Mkokotoni karibu na Mkondo wa Nungwi, ikiwa imebeba jumla ya abiria 32 kati ya hao 21 wameokolewa na 11 kati yao hadi sasa hawajapatikana. Kushoto kwa Balozi Seif ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mh. Pemba Juma Khamis.
Nahodha wa Jahazi ya Sun Rise, iliyozama kati ya Tanga na Mkokotoni, karibu na Mkondo a Nungwi, Abdulla Saleh, akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, jinsi mkasa huo ulivyowatokea na kuzama baada ya chombo chao kupatwa na dhoruba kali.
**************************************

Nahodha na abiria mmoja ambao ni miongoni mwa watu 21 walionusurika kufa kati ya 32 waliokuwa wakisafiri na Jahazi lililopata ajali na kuzama liitwalo Sun Rise likitokea Mkoani Tanga kuja Mkokotoni Unguja, wakiwa katika wodi ya Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini A iliyopo Kivunge, Zanzibar wakiendelea kupatiwa matibabu.
Jumla ya abiria 21 wameokolewa katika ajali hiyo na kupelekwa Kivunge kwa ajili ya kupatiwa huduma ya matibabu ambapo hadi sasa abiria saba watoto wakiwa watatu na watu wazima wane bado hawajapatikana kutokana na ajali hiyo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Viongozi wa Juu wa Ofisi yake ambayo ndio inayoratibu masuala ya maafa walifika Hospitali ya Kivunge kuwapa pole majeruhi hao waliobakiwa wakipatiwa huduma za Matibabu.
Nahodha wa Jahazi hiyo Bwana Abdulla Saleh akiwa pamoja na Majeruhi mwenzake Bwana Ali Juma Jaku alimueleza Balozi Seif kwamba ajali hiyo ilitokea kutokana na kuchafuka mara Moja hali ya Bahari.
Nahodha Abdulla alisema chombo chao chenye uwezo wa kubeba abiria 50 kiliondoka bandarini Tanga salama Majira ya Saa nane za Usiku na walianza kupata mitihani na kuzama mara baada ya kuchafuka kwa bahari majira ya saa 11 za alfajiri.
Akiwapa pole majeruhi hao Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Maafa Zanzibar Balozi Seif alisema juhudi alizoonyesha Nahodha huyo katika kusaidia uokozi huo zinastahiki kupongeza na Jamii yote.
Balozi Seif aliwaombea majeruhi hao kupoa haraka na kuungana na familia zao na kuutaka Uongozi wa Hospitali ya Kivunge kuendelea kuwachunguza Mareruhi hao kutokana na juhudi kubwa waliyoifanya ya kusaidia harakati za uokozi wa wenzao uliopelekea kupoteza nguvu nyingi.
Jahazi hilo la Sun Rise lililokuwa likitokea Tanga kuja Mkokotoni mbali ya kuchukuwa abiria pia lilibeba sanduku nne za maziwa pamoja na Polo zipatazo 30 za Mkaa.
Othmna Khamis Ame
Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
31/1/2013.

NYPD officer 'committed suicide because female boss forced him to trade sex for a good work schedule'


A lawsuit filed today has alleged that the reason a veteran police officer committed suicide was because he was forced to have sex with a female boss in order not to be punished by workload and scheduling. 
Officer Matthew Schindler, 39, shot himself on February 13 last year after pulling onto the side of the Long Island Expressway, New York on his way home from work. 

UNGEIPENDA HII IPITIA KIDOGO IKUKUMBUSHE KUWA VINA RAHA YAKE LAKINI


Na LandaKa Yo..Ozo Sala Ba Fieres, Ba Kisakata....Lelo Yo Mutu Okomi Bangu ..Forcer Peut Etre Oko Kanga Nga.....O Sambweeeeee!!!!!! Kiekiekiekiekiekiekiekiekiekiekiekie





Wednesday, January 30, 2013

Huwa Napata Shida sana Nikikutana na Wanawake Wenye Hii Tabia

Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 29 years..utamsikia,''Oh my Ghosh,ur still a kid,mi nadate guys who are 45 years above...Wanajua kupenda,they are so caring,yaani nyie vijana mnasumbua sana''.Sio tunasumbua,anajua kabisa miaka 29 bado ndo unasaka hela,ndo umeanza maisha huna cha kumhonga,ukijitahidi sanaaa utampeleka shopping Karume na hiyo hela itakuuma kishenzi!
Anakuita Kid bila aibu wakati yeye ana miaka 23 tu halafu eti ana mahaba na jitu la miaka 47..Uongo mtupu!Ina maana mtu hawezi kupenda na kucare hadi afike miaka 45??Nyie semeni tu mnawalia timing coz mnajua mtu mwenye miaka 45 anakuwa ameshajipanga,amefanya kazi ana hela,unajifanya unampenda kumbe Parasite tu unataka kumnyonyoa mafao yake ya uzeeni,hamna hata aibu..Mnapenda sana vitu ready made,tengenezeni vya kwenu,ukiona mtu ana miaka 45 jua kuna Mwanamke mwenzio amefanya kazi kumfikisha hapo alipo,we unakuja unadandia tu,,,Kama kweli una mahaba tafuta mwanaume wako,panda nae daladala za Buguruni mrukie wote dirishani,msotee maisha kwa kutembelea TZ 11 hadi siku apate gari mfaidi wote halafu akifika miaka 45 uone kimwanamke cha IFM kinamsogelea eti hes caring uone inavyouma,utatamani umpige patasi ya kisogo...Gold diggers,waone kwanza,msione gesi mtwara mshaanza kuandamana!45years guy waiting for u student of 23 years,ina maana miaka yote hiyo alikuwa Stevie Wonder au

CCM YAITEKA KASULU

Wananchi wa Kijiji cha Karunga kata ya Heru Juu,Kasulu wakiwa na nyuso za furaha wakati wa kumpokea Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Ndugu Nape Nnauye.


Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Ndugu Nape Nnauye akipokelewa na Mjumbe wa NEC wilaya ya Kasulu,Daniel Nswanzigwanko pamoja na viongozi wengine wa chama wakati akiwasili kijiji cha Karunga,kata ya Heru juu.




Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwasalimu wakazi wa Kjiji cha Karunga,kata ya Heru Juu kabla ya kwenda Kasulu mjini ambako alifanya mkutano mkubwa wa hadhara.





Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Ndugu Daniel Makanga akiwaeleza wananchi hatua zilizochukuliwa kuboresha ulinzi na usalama wa eneo hilo,na pia kueleza lini kutapatikana maji safi na salama kwa wananchi wa eneo hilo.


Mjumbe wa NEC Wilaya ya Kasulu,Daniel Nswanzigwanko akihutubia wananchi wa Kasulu mjini tarehe 29/1/2013


Band ya Vijana wa CCM Kasulu mjini ikitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara .


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akipokea baadhi ya kadi za wanachama wa chama pinzani walioamua kurudi CCM



Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akihutubia wananchi wa Kasulu mjini ,Katibu wa NEC aliwaambia wananchi kuwa muda wa watendaji wa serikali za viji kujifanya muungu watu umekwisha na pia maendeleo yanakwamishwa sana na wapinzani maana kila jambo jema wana pinga.


Biashara Haramu ya Wasichana kutoka Zanzibar yashamiri Uarabuni


Biashara ya binadamu imeibuka kwa kasi nchini na kutishia usalama wa nchi kutokana na watoto wenye umri kati ya miaka 8-15 baadhi yao wakiwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kusafirishwa kinyemela kwenda katika nchi za Uarabuni.


Uchunguzi wa kina uliofanywa na gazeti moja la kila siku kwa takribani wiki mbili, umebaini kuwa biashara hiyo imeibuka kuanzia Desemba mwaka jana na imeshika kasi Januari mwaka huu na wanaosafirishwa wengi ni watoto wa kike kutoka mikoa mbalimbali nchini. Wapo wachache wa kiume pia.


Kamanda wa Polisi Kikosi cha Maji, Mboje Kanga, alipoulizwa na gazeti moja nchini alithibitisha kupata taarifa za kuwapo kwa biashara hiyo ingawa alisema kuwa hana takwimu za watoto ambao wamekamatwa wakitaka kusafirishwa.






Tatizo la kusafirisha watoto lipo, lakini nina watu ambao wanashughulikia suala hilo pale bandarini, nitafute kesho (leo) nitakupa takwimu zote kuhusiana na biashara hiyo baada ya kuwasiliana na watu wangu.
Uchunguzi zaidi umebaini kuwa mikoa ambayo watoto hao wananunuliwa na mawakala maalum kabla ya kusafirishwa kupelekwa nchi za Uarabuni kufanya kazi mbalimbali zikiwamo za ndani ni Mtwara, Lindi, Manyara, Pwani, Tabora, Ruvuma, Tanga na Shinyanga.


Taarifa zinaonyesha kuwa mawakala hao wakishafanikiwa kuwapata watoto hao kutoka katika mikoa hiyo huwapeleka Jijini Dar es Salaam na baadaye kusafirishwa kwa usafiri wa majini kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Zanzibar.


Uchaunguzi umebaini kuwa watoto hao wakifikishwa Zanzibar hukutana na watu maalum ambao huwapokea na kufawanyia mipango ya kuwasafirisha kwa usafiri wa ndege au wa majini kwenda Uarabuni ambako hutumikishwa katika kazi mbalimbali.


Mawakala hao wakishafanikiwa kuwasafirisha kutoka Bandari ya Dar es Salaam, hulipwa wastani wa Dola za Marekani 5,000 (Sh. milioni 8) kwa kila mtoto wanayefanikisha kumvusha kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar.


Kwa mujibu wa uchunguzi huo, ili kuhalalisha safari za kuwasafirisha watoto hao, mawakala wanakula njama na baadhi ya wenyeviti wa serikali za mitaa kwa kuandika barua zinazoelezea sababu za watoto hao kwenda Zanzibar.


Barua hizo ambazo imebainika ni za kughushi, nyingi zinaandikwa na kupigwa mihuri ya wenyeviti wa serikali za mitaa wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke, jijini Dar es Salaam.


Sehemu ya barua inasomeka:

KIPAJI CHA KUKATA NYONGA CHA MPA NEEMA SNURA KAYASEMA HAYO


MSANII wa filamu na muziki Snura Mushi ‘Snura’, anayetamba kwa mauno, ameeleza kuwa mwaka huu anaamini ni mwaka wake wa kukimbiza kutokana na mapokezi makubwa anayoendelea kuyapata kutoka kwa mashabiki wake hasa kwenye show zake.
Snura alizungumza na mwandishi wa DarTalk, ambapo alisema kuwa muziki wake umeedelea kumweka juu, na anaamini ujio wake wa mwaka huu kila msanii anayemfuata nyuma yake atasubiri kwani anajua kile anachokifanya kwa akili ya mashabiki wake.
Hata hivyo alisema kuwa anatarajia kuzindua rasmi video yake mpya ya ‘Majanga’ kwenye usiku wa Viuno Show ndani ya New Maisha Club Jumapili hii ambapo pia atasindikizwa na wakali wengine kibao.
“Nafanya muziki na filamu na huwezi amini mashabiki wangu wamekuwa wakipokea kwa shangwe sana pale napoenda kufanya show, naamini huu mwaka kwangu utakuwa na mafanikio makubwa sana tofauti na nyuma,” alisema. Toa Maoni yako Hapa chini

MUNGU NI MWEMA TOUCHING STORY




Hili ni simulizi la kweli linalomhusu mwanamke mmoja ambaye alikuwa ni kahaba wa makahaba.....Mwanamke huyu alijitambua vyema na kukiri ndani ya nafsi yake kuwa hawezi kuolewa na maname yoyote yule maana jamii yote ilikuwa inamtambua kwa uchangudoa wake......
Kwa hiyo , ili kurahisisha mambo na kuifanya biashara yake iimarike, mwanadada huyu aliamua kwenda hospitali kukitoa kizazi chake.Hakutaka tena usumbufu wa kutoa mimba au kufikiria kondomu......

Tangu wakati ule biashara yake iliimarika na wateja walizidi kumiminika.Baada ya miaka kadhaa, Upako wa mwenyezi mungu ulimfikia kupitia kwa mtumishi mmoja wa mungu ambaye alifanikiwa kumfanya aokoke na kuwa mtumishi mzuri kanisani.....

Siku moja, mchungaji mmoja alimwita na kumwambia kuwa:
"Dada yangu, Mwenyezi mungu amenena na mimi na kunifunulia kuwa wewe ndo mke wangu wa ndoa, hivyo naomba tuoane.."

Mwanamke huyu alitabasamu na kusema:
"Kaka yangu, Mungu hajakwambia lolote, lasivyo, utakuwa hujamsikia vizuri.Naomba uniache tu maana sina mpango wowote wa kuolewa"

Yule mchungaji aliendelea kushikilia msimamo wake na kudai kuwa :

"Mungu amenifunulia,wewe ndo mke wangu" 

Mwanamke huyu aliendelea kuyapuuza maneno hayo na ndipo sakata hilo lilipomfikia Askofu wa kanisa hilo.....

Wakiwa mbele ya mchungaji,Mwanamke huyu alifunguka kwa uwazi mbele ya askofu na kudai kuwa kabla ya kuokoka yeye alikuwa ni kahaba wa makahaba....

Askofu naye alifunguka na kudai kuwa :"Sioni sababu ya kuumiza kichwa kwa mambo yaliyopita.Mungu humsamehe mwanadamu kwa kuzifuta dhambi zake zote za nyuma na kumfanya awe mpya..!!!"

Mwanamke huyu alifunguka tena na kudai kuwa:
"Baba askofu, mimi nilishatoa kizazi changu wakati nikiwa kahaba, kwa hiyo sitaweza kuzaa tena"
Askofu aliishiwa pumzi baada ya kusikia hivyo.Hakuweza tena kusema kuhusu kusahau ya nyuma.Ilibidi amgeukie yule mchungaji na kumwamba: 

"Vipi, bado kuna maono yoyote toka kwa mwenyezi mungu?" 
Mchungaji alijibu ,"Ndio, huyu ndo mke wangu.."
Askofu ilibidi awaombee kwa sala maalumu.Hatimaye ndoa ikafungwa......Baada ya miezi michache tu, huyu mwanamke alibeba mimba.Yeye pamoja na mumewe waliongozana pamoja kwenda hospitalini, tena kwa yule yule doctor aliyekitoa kile kizazi......

Daktari alipomuona alifurahi akidhani kuwa pengine mteja wake kamletea mteja mwingine.....Doctor hakuamini masikio yake baada ya kuambiwa kuwa huyu mwanamke ni mjamzito na amekuja kujiandikishaclinic....
Hakika Mungu ni Muweza wa yote....

Tuesday, January 29, 2013

Pinda azungumza na wafanyabiashara kuhusu Gesi Mtwara

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wafanyabiashara wa Mtwara kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA mjini Mtwara, Januari 28, 2013. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Joseph Simbakalia.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Mfanyabiashara wa Mtwara, Fatuma Embe akichangia katika mkutano kati ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na wafanyabiashara wa Mtwara kuhusu gesi kwenye ukubi wa VETA mjini Mtwara.


Baadhi ya Wafanyabiashara wa Mtwara wakinyosha mikono kuomba nafasi ya kuchangia katika mazungumzo kati yao na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuhusu mgogoro wa gesi kwenye ukumbi wa VETA mjini Mtwara.

LULU AACHIWA KWA DHAMANA, SASA AENDA "KULA BATA" MITAANI

Msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akishuka kutoka katika gari lililomleta leo Mahakama Kuu wakati wa kukamilisha taratibu za kupata dhamana. (Picha na Habari Mseto Blog) 

Lulu akiingia Mahakamani huku akisindikizwa na Askari Magereza
Lulu akiingia mahakamani huku akitabasamu.
Lulu akiingia mahakamani.
Lulu akiwa amezungukwa na baadhi ya waandishi wa habari waliotala kufanya nae mahojiano mfupi baada ya kupata dhamana.
Lulu akiangua kilio baada ya kushindwa kuongea na waandishi wa habari waliokusanyika mahakamani hapo.
Lulu akitoka katika lango Kuu la Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam baada ya kupata dhamana.
Lulu akilia wakati akitoka Mahakamani huku nyumba akifuatiwa na mama yake mzazi.
Wasanii nao wallijitokeza mahakamani hapo kumfariji Lulu, kulia ni msanii wa filamu, Muhsin Awadh 'Dk. Cheni'
Lulu akiondoka mahakama hapo.
Wakili anayemtetea Lulu akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya mteja wake kupata dhamana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo. Lulu amepata dhamana baada ya kutimiza masharti ya kuwa na wadhamini wawili ambao ni watumishi wa serikali waliosaini bondi ya Sh.milioni 20 kila mmoja, kusalimisha hati ya kusafiria, kutotoka nje ya Dar es Salaam bila ruhusa ya mahakama na kuripoti kwa msajili kila mwezi. Luluanakabiliwa na kesi ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa msanii mwenzake marehemu Steven Kanumba.