Tuesday, March 31, 2009












Raisi Obama akiongozana na mkewe, leo wameondoka nchini Marekani kuanza ziara ya siku nane ikiwa ni ziara yake ya kwanza ya nchi za Ulaya baada ya uchaguzi. Raisi Obama atazitembelea nchi tano, Uingereza, Ufarasa, Ujerumani, Turkey na Jamuhuri ya Czech pamoja na kuhudhuria mkutano wa kujadili hali mbaya ya uchumi duniani na pia kukutana na viongozi wanaojumuisha nchi zinazounda NATO.
Pichani wanaonekana wakielekea kupanda helikopta ya Marine One iliyowachukua Adrews Air Force base mjini Maryland kupanda Air force One.


Ivorian National football team "Elephants" striker Didier Drogba (right) duels for the ball with Malawi team captain Peter Mponda in Abidjan during their World Cup 2010 qualification match. Government officials began investigating the cause of Sunday's deadly crush amid accusations that the huge crowd was swelled by non-ticket holders who had bribed their way past security.

Front row, from left: Tanzanian President Jakaya Kikwete, Zimbabwean President Robert Mugabe, King Mswati III of Swaziland and South African President Kgalema Motlanthe pose for a family photo in Mbabane, Swaziland, during the SADC Summit. Leaders of the SADC regional bloc decided Monday to suspend Madagascar until constitutional order was restored following a take-over by Andry Rajoelina.

Monday, March 30, 2009












Mapozi ya baba(enzi hizo) na mwana.













Kwa kweli hawakukosea wanaposema "Tumetoka mbali"




Natafuta mawasiliano na ye yote katika hawa ndugu ambao nilikuwa nao kwenye kozi ya maafisa uhamiaji katika chuo cha polisi Moshi mwaka 1983/84. Naomba tuwasiliane kwa e-mail fundikramadhani@cs.com.

Sunday, March 29, 2009


Mwenyekiti wetu wa Umoja wa Afrika(AU) na Mwafrika mwingine kutoka Sudan wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Doha nchini Qatar kuudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Kiarabu ili kujadili pamoja na mambo mengine matatizo ya mvutano katika Palestine na jinsi Waarabu watavyomsaidia mwenzao toka Sudan. Hawa wenzetu wana bahati sana ya kuwa kote kote.










Mwanamusiki Madonna amewasili nchini Malawi tayari kuchukua mtoto mwingine aitwaye Mercy James mwenye umri wa miaka 4. Tayari Madonna alishachukua mtoto aitwaye David Banda mwaka 2006. Madonna ana mpango wa kujenga shule katika kijiji cha Chinkhota. Picha juu zinaonyesha matukio mbali mbali wakati alipowasili nchini Malawi.














Vifo vya karibu watu 19 na majeruhi kadhaa vimetokea katika uwanja wa Felix Houphouet-Boigny mjini Abidjan Ivory Coast wakati wa mechi kati ya Malawi na Ivory Coast katika shindano la kuwania nafasi ya kuingia kombe la Dunia 2010 kwa kundi la nchi za Kiafrika.




Mchezaji wa timu ya Zambia, Francis Kasonde akishangilia baada ya kufunga bao kwenye goli la timu ya Misri kwenye mechi ya kugombania kuingia kwenye mashindano ya kombe la Dunia mwakani(2010) kundi C la nchi za Afrika. Mechi ilikwisha kwa bao 1-1.

Friday, March 27, 2009


Mwanamusiki Madonna arudi tena nchini Malawi ili apatiwe mtoto mwingine tena wa "Kimatumbi". Pichani anaonekana na mtoto David aliyempata huko huko Malawi. Wanajamii hii imekaaje?


Sudanese President Omar al-Beshir, who is facing an arrest warrant for alleged war crimes in Darfur, arrived in Libya on Thursday, his third trip abroad in a week, his office said.
"He is now in Libya," presidential spokesman Fadel Mahjoub told AFP, without elaborating on the reasons for the visit.
Earlier, Beshir's office had said the president would be travelling to Ethiopia.
Libyan leader Moamer Kadhafi has criticised the warrant, issued by the International Criminal Court (ICC) on March 4. He told UN chief Ban Ki-moon it constituted a "grave precedent against the independence of less powerful states, their sovereignty and their political choices."
Kadhafi, the current African Union chief, said the ICC was "selective" and that the court, based in The Hague, was "employing a policy of double standards in targeting African and third-world states."
On Monday, defying the warrant, Beshir paid a visit to Eritrea and talks with Issaias Afeworki
.

Thursday, March 26, 2009







Haya ni maisha katika nchi ya Kiafrika(Angola) yenye utajiri mkubwa wa mafuta, lakini tazama watu katika baadhi ya sehemu walivyo na maisha duni. Nchi zetu nyingi zina upungufu sana wa huduma za ustawi wa jamii. Afrika bado tuna safari ndefu sana...



Sungusungu wa D.R.C.





Hii ndiyo ile gari ya bei nafuu ($2000) ambayo kampuni ya magari Tata ya India inatengeneza kusaidia usafiri kwa watu wa kipato cha chini. Wameipa jina Tata Nano.

Wednesday, March 25, 2009


Jumba la ghorofa 11 limeanguka katika kitongoji cha Idi-Araba Jijini Lagos Nigeria na kukadiriwa kuleta maafa ya vifo vya watu 11 mpaka kufikia sasa. Wengi wa marehemu inasemekana ni watoto wadogo. Chanzo cha kuporomoka kwa jumba hilo mpaka sasa hakijajulikana lakini uenda ikawa ni ujenzi hafifu.

Tuesday, March 24, 2009


WASHINGTON – President Barack Obama claimed early progress Tuesday night in his aggressive campaign to lead the nation out of economic chaos and declared that despite obstacles ahead, "we're moving in the right direction." At the second prime-time news conference of his presidency, Obama also toned down his criticism of bonuses to executives at bailed-out AIG, and shot back at Republican critics of his budget.
MAMBO 18 YANAYOKUFANYA UWE MSWAHILI...


1..Asilimia 90 ya CD pamoja na kanda za cassete za muziki ulizonazo nyumbani ni feki AU ni za kuazima.



2.Hakuna mtu katika familia yako anayetoa taarifa kwako anapokuja kukutembelea mfano kaka,shangazi n.k..


3.Mama yako ana migogoro na ndugu na hawazungumzi kwa muda wa miezi 10 au zaidi.


4.Wakati ukisafiri na ndege unabeba mzigo wa uzito mkubwa kuliko inavyoruhusiwa.

5.Unapomsaidia mtu na akafanikiwa basi utakuwa unasema kama sio mimi asingekuwa vile yule..

6. Unapenda kuhudhuria / kushiriki hafla na sherehe mbalimbali kama vile harusi, maulidi, Ubarikio n.k ambazo hujaalikwa na wala huhusiki.

7. Unapenda kuomba kununuliwa dola (credit), pombe, soda, sigara n.k

8. Unapoingia katika chombo cha usafiri unapenda kupigania/kukimbilia na hata kuingilia dirishani..

9. Unapohudhuria hafla au sherehe fulani unapenda kubeba bia, maji, soda na chakula kupeleka nyumbani wakati unarudi.

10. Unapenda kutembelea watu ovyo ovyo hata kama hujaitwa au huna jambo la msingi linalokufanya la kukupeleka kwao.

11. Unapenda kuongea saana kuhusu mambo ya watu wengine (Umbea), mara sijui fulani kafanya hivi, mara fulani hana lolote...

12. Unapenda sana kuongea unapokuwa na watu lakini maongezi yenyewe hayana msingi wowote, ili mradi tu uonakane nawe umo.

13. Unapenda sana kusoma magazeti ya udaku, kama vile Kiu, Ijumaa n.k. na pia habari zisizokuwa na elimu ndani yake. Kama vile Baba Ubaya, Toto tundu, Babu suni n.k.

14. Unakuwa mbishi sana kutoa michango ya harusi, ila kwenye mnuso wewe ndio wa kwanza kufika na wa mwisho kuondoka tena ukiwa ndiiiiiii....

15. Unaiga kila kitu toka kwa jirani yako badala ya kubuni mambo yako. Mfano akifungua grocery we nawe unafungua yako ubavuni, akifuga kuku, we nawe umo....

16. Unakuwa huendi out na mkeo na kama mkienda shughulini yeye hutangulia mbele kabisa na wewe unafuata nyuma kwa mbali kama watu baki, na huko mkifika hakuna kujuana. Ukionekana out na mtu basi ni nyumba ndogo

17. Unakuwa kila jambo la kila mtu kazini kwako unalijua, lakini la kwako hakuna anayelijua. ukiulizwa unakuwa mkali kama mbogo

18. Una tabia ya kuandaa pilau na kuku wakati wa sikukuu tu. Halafu mayai, matunda na maziwa unakula ama unaandaliwa ukiwa umelazwa hospitali

Monday, March 23, 2009

Usafiri wa familia India. Kuondokana na hali kama hii, kampuni ya Tata ya huko India imeamua kutengeneza gari la bei nafuu kuliko yote duniani ili kuzisaidia familia kama hii kwenye picha.

Sunday, March 22, 2009

JUST WORDS OF CAUTION!!
Watch your thoughts; they become words.
Watch your words; they become actions.
Watch your actions; they become habits.
Watch your habits; they become character.
Watch your character; it becomes your destiny.
Mwanajamii anaandika....
I wonder why it took him so long to speak out. May be they will listen to this great African, one of the great figures of the 21st Century. African leaders have much to learn. Why? because, post Independence African governments have been unprincipled, corrupt, and full of selfish leaders. Few of them have consented to share power freely or supported development of a vibrant civil society. Mpaka Mo Ibrahim amebuni mbinu ya kuwarubuni wache madaraka kwa amani lakini haisaidii chohote.Can you believe it; people are being rewarded to relinquish power when their moment is over. A few have implemented with this and gone away with it while others have faced the heat of resistance from both inside and globally. African leaders such as Yoweri Museveni (23yrs), Robert Mugabe (29yrs), Muhamar Ghadafi (40yrs), Hosni Mubarak (28yrs), Omar Bongo (42), Melik Zenawi (18), Paul Kagame (15), and Paul Biya (25) need to go. Africans (Wananchi) also need to make changes in the way we elect our leaders. Time and again we put them into office despite their poor performance. What a continent! We need more Africa’s Nyereres and Mandelas.
Brother K.
Nakubaliana na yote unayoyasema. Watu wengi zaidi inabidi waanze kuyazungumzia masuala haya ili hivi vitabia vyetu vilivyoota mizizi vikome kabisa. Inaumiza sana kuona kwamba mtu unazaliwa na kukua mpaka kufikia utu uzima na bado uaongozwa na mtu yule yule mwenye fikra zile zile! Mabadiliko ni muhimu na ni ya lazima kama kweli Waafrika tunataka kusonga mbele.
-Fundi Kombo -

Saturday, March 21, 2009

Raisi wa Rwanda, Paul Kagame ameliambia Bara la Afrika kuacha mara moja kutegemea misaada kutoka nje na kuanza kutumia mali-asili zinazopatikana kwa wingi Barani Afrika kwa kuleta maendeleo. Aliyasema hayo wakati alimpomtembelea Mzee Mandela huko Afrika ya Kusini siku ya Ijumaa.

Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Koffi Annan ametoa tamko kwa viongozi wa Afrika ambao umri umepita na waliokuwa madarakani kwa kipindi kirefu kuwapisha vijana. "Mabadiliko Afrika hayawezi kutokea kwa viongozi hao wazee kuendelea kuwa madarakani".

Malawi's former president Bakili Muluzi, seen here in 2001, has vowed to fight the election commission's decision to bar him from running for president in May elections.

Friday, March 20, 2009



Hii siyo foleni ya mafuta ya taa au petroli bali ni watu wanaosubiri mgao wa maji. Hii ni kwenye kambi moja ya wakimbizi huko Darfur. Kuna kila dalili ya kwamba kama tusipokuwa na mipango mizuri basi tunaweza kukabiliwa na tatizo kubwa sana la maji kwa matumizi ya kila siku hapo mbeleni. Maji ni uhai, na uhaba wake unaweza...