Sunday, November 30, 2008

Hii ndio sura ya balaa lingine Afrika, Nkunda wa Congo, ambaye ameamua kwamba tuendelee kupafanya Afrika uwanja wa vita badala ya kuleta maendeleo kwa watu wetu.


Kama bwana Mugabe ameshindwa kuwapatia wananchi wake unafuu wa kupata hata maji, hivi ni nini kinamfanya afikirie kwamba anahitajika tena? Kwa sasa Wazimbabwe wanakufa kwa kipindupindu na njaa, lakini mheshimiwa bado anadhani yeye na uongozi wake sio tatizo ila ni wapinzani. Hawa ndio viongozi wetu Afrika! Je kweli tutafika?

Thursday, November 27, 2008

Wednesday, November 26, 2008


"YONA NA MRAMBA KIZIMBANI KUJIBU MASHTAKA. WASHINDWA DHAMANA NA KURUDISHWA SEGEREA"

Tuesday, November 25, 2008


Jumba la Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dodoma.











Mheshimiwa Bwana Kichaka alipozuru Bongo. Je madhumuni ya ziara hii ilikuwa ni nini haswa?




Monday, November 24, 2008

OMBI LA MJADALA
Kuna Watanzania wengi wa jinsia na marika mbali mbali waishio Jijini New York na kwenye vitongoji vyake ambao kwa idadi tungetosha kabisa hata kuunda kamji kadogo, lakini ajabu ni kwamba mpaka wa leo hatujafanikiwa kuunda umoja. Watanzania wenzetu wengi waishio miji mingine na hata nchi mbali mbali duniani kote wamejibiidisha sana katika hili. Nadhani wakati umefika kwa sisi tuishio Jijini hapa kuamka na kutambua ya kwamba "umoja ni nguvu na utengano ni dhaifu". Tunahitaji kujikusanya na kuunda Umoja wa Watanzania New York, kwa kutambua kwamba tunahitajiana kwenye shida na raha, leo na kesho na hasa hasa ukizingatia kwamba hapa ni ugenini.
Kama mkereketwa nimeonelea nifungue huu mjadala hili nione kama kuna mwenzangu au wenzangu ambao tunalengana kimawazo na kama yuko au wako tayari na hili jambo.
Nawaomba wasomaji wote wa blogu hii mchango wenu katika kuchangia hii mada.
KARIBUNI!!
Wakati ukifika wa mwana kuondoka kwa wazazi wake na kukabidhiwa ukweni, huwa ni siku ya vifijo na huzuni ndani yake. Ni taratibu zetu za ndoa, na ndoa humjumuisha mwana dada na mwana kaka na si vinginevyo. Hivyo basi, ni sahihi tukaulinda "Utamaduni" wetu ili nasi tusije kufika mahala eti ikabidi tuandamane ili kutaka kubadili taratibu halali za kitu kinachoitwa "Ndoa".

Saturday, November 22, 2008

Kanyama Chiume 11/22/1929-11/21/2007

Dad it has been a year since
You closed your eyes forever.
A year of sadness,
A year remembering the
Good memories we shared together
And a year of hoping the angels
Above are protecting you.
Dad we miss you every day, every hour,
Every minute, and every second.
Hoping one day we shall meet again.
May you rest in peace

Your loving family.

Kanyama Chiume

I see your smile
A mile far away
I see your face
Bearable to stress
I hear your jokes
I remember your hopes
No matter how long it took
You always wished the best
Rest in Peace!
Love you always daughter JMC


Friday, November 21, 2008

"Umulike ndani na nje ya mipaka nchi yetu na ulete matumaini, haki na upendo"....ndio yalivyokuwa makusudio ya viongozi wetu baada ya uhuru kama ilivyorihirishwa na shujaa Capteni Nyirenda kwa kuupandisha mwenge na bendera yetu juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro. Watanzania tulio wengi bado hatuna hakika kwamba kweli kuna matumaini, haki au upendo katika nchi yetu.

Thursday, November 20, 2008

Viongozi waasisi wa Afrika yetu. Nadhani kati ya hawa wote wameshatutoka isipokuwa mzee Kenneth Kaunda wa Zambia. Je! Unaweza kuwatambua majina yao? Tuma majibu kwa kupitia barua pepe: fundikramadhani@cs.com na kujishindia zawadi nono.

Binaisa ambaye alichaguliwa kuiongoza Uganda baada ya Amin kuburuzwa nje, akiwa na mashujaa wakuu wa majeshi ya Tz na viongozi wengine.

Monday, November 17, 2008


Mzee Nyerere alijitahidi sana kumweka sawa huyu jamaa lakini kichwa ngumu.

Ni kinywaji moja safi sana hasa unapokibugia na nyama choma.

Sunday, November 16, 2008

Watanzania mnaoishi New York na nje ya New York wa madhehebu yote, mnaozungumza kiswahili mnakaribishwa kwenye mkutano wa kuanzisha misa ya kiswahili itakayokuwa inafanyika mara moja kwa mwezi. Mkutano huu utafanyika tarehe 23 Novemba, 2008, katika kanisa la Holy Trinity Lutheran Church lililoko Queens NY saa saba mchana baada ya ibada ya kiingereza ya saa tano asubuhi. "Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu". Watu wote wanazungumza kiswahili wanakaribishwa!!
Mojawapo ya makanisa maarufu jijini Dar es Salaam ni hili lililopo katikati ya jiji letu.


Katika jamii ya Kitanzania kina mama siku zote wamekuwa wakijihibidisha kwa kufanya biashara ili kusaidia familia zao...kama inavyoonekana katika picha hizi mbili wakiwa sokoni Lushoto, Tanga na Moshi, Kilimanjaro. Mbali na kujihusisha na vibiashara vya hapa na pale, vile vile wanabeba jukumu zito la ulezi wa watoto katika familia. Siku zote wanastahili tuwape pongezi na heshima kubwa.

Chakula cha asili kwa Watanzania walio wengi ni Ugali. Pichani anaonekana dada Kulwa akiusonga kiumakini sana...Mmmm!!

Saturday, November 15, 2008


Bwana Kichaka(Bush) amewaalika viongozi wenzake wa mataifa tajiri duniani(G-20) kwenye mkutano unaoendelea mjini Washington, D.C, katika kile kinachoitwa...kujadili na kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya kiuchumi yanayoendele kwa sasa duniani.

Thursday, November 13, 2008


HARARE (AFP) – Zimbabwe President Robert Mugabe will form a new government "as soon as possible" and discussions are underway between his ruling ZANU-PF party and the main opposition, a cabinet minister said on Thursday.
"The President is in the process of forming a new inclusive government," Minister of Information and Publicity Siskhanyiso Ndlovu told a news conference.
"In the process of forming a government, we don't put deadlines but it will be as soon as possible."
Ndlovu said discussions between ZANU-PF and the opposition Movement for Democratic Change (MDC) were taking place but refused to divulge details.
"We can't reveal what communications are taking place. We will let you know the results of the communications," he said.
The party's plans to push ahead with a new government come after MDC leader Morgan Tsvangirai rejected a regional proposal at the weekend to set up a new government and share the disputed home affairs ministry with Mugabe.

Wednesday, November 12, 2008


Baraza la Mawaziri wetu wa mwanzo baada ya kupata uhuru. Mzee wetu, Rashidi Mfaume Kawawa anaonekana kasimama katikati karibu na baba wa taifa(picha ya juu), na ni wapili toka kushoto waliosimama(picha ya chini).

Tuesday, November 11, 2008











Rais mteule (Barack Obama) na mkewe walipokaribishwa rasmi kwenye Jumba Jeupe, wakiwa na mwenyeji wao Rais Bush hapo jana tarehe 10 Novemba, 2008. Kuna fununu kwamba Jumba litabadilishwa rangi...Jumba Jeusi?-just kidding!!




Monday, November 10, 2008


Wazee wetu...wastaafu, Rais Mwinyi(picha juu) na Waziri Mkuu, Kawawa(picha chini).

South African musical legend Miriam Makeba dies
JOHANNESBURG, South Africa – She died just how she wanted to — singing on stage for a good cause. And her songs wafted out of taxis and radios, as fellow Africans struggled with their grief at her passing.
Miriam Makeba, the "Mama Africa" whose sultry voice gave South Africans hope when the country was gripped by apartheid, died early Monday of a heart attack after collapsing on stage in Italy. She was 76.
In her dazzling career, Makeba performed with musical legends from around the world — jazz maestros Nina Simone and Dizzy Gillespie, Harry Belafonte, Paul Simon — and sang for world leaders such as John F. Kennedy and Nelson Mandela.
Her distinctive style, which combined jazz, folk and South African township rhythms, managed to get her banned from South Africa for over 30 years.
"Her haunting melodies gave voice to the pain of exile and dislocation which she felt for 31 long years. At the same time, her music inspired a powerful sense of hope in all of us," Mandela said in a statement.
He said it was "fitting" that her last moments were spent on stage.
Makeba collapsed after singing one of her most famous hits "Pata Pata," her family said. Her grandson, Nelson Lumumba Lee, was with her as well as her longtime friend, Italian promoter Roberto Meglioli.
"Whilst this great lady was alive she would say: 'I will sing until the last day of my life'," the family statement said.
Makeba died at the Pineta Grande clinic in Castel Volturno, near the southern city of Naples, after singing at a concert in solidarity with six immigrants from Ghana who were shot to death in September in the town. Investigators have blamed the attack on organized crime.
The death of "Mama Africa" sent shock waves through South Africa, where callers flooded local radio stations with their recollections of her. In Guinea, where Makeba lived most of her decades in exile, radio and television stations played mournful music and tributes to their adopted icon.
The first African to win a Grammy award, Makeba started singing in Sophiatown, a cosmopolitan neighborhood of Johannesburg that was a cultural hotspot in the 1950s before its black residents were forcibly removed by the apartheid government.
She then teamed up with South African jazz trumpeter Hugh Masekela — later her first husband — and her rise to international prominence started in 1959 when she starred in the anti-apartheid documentary "Come Back, Africa."
When she tried to fly home for her mother's funeral the following year, she discovered her passport had been revoked.
In 1963, Makeba appeared before the U.N. Special Committee on Apartheid to call for an international boycott of South Africa. The white-led South African government responded by banning her records, including hits like "Pata Pata," "The Click Song" ("Qongqothwane" in Xhosa), and "Malaika."
Makeba received the Grammy Award for Best Folk Recording in 1966 together with Belafonte for "An Evening With Belafonte/Makeba." The album dealt with the political plight of black South Africans under apartheid.
Thanks to her close relationship with Belafonte, she received star status in the United States and performed for President Kennedy at his birthday party in 1962. But she fell briefly out of favor when she married black power activist Stokely Carmichael — later known as Kwame Ture — and moved to Guinea in the late 1960s.
Besides working with Simone and Gillespie, she also appeared with Paul Simon at his "Graceland" concert in Zimbabwe in 1987.
After three decades abroad, Makeba was invited back to South Africa by Mandela shortly after his release from prison in 1990 as white racist rule crumbled.
"It was like a revival," she said about going home. "My music having been banned for so long, that people still felt the same way about me was too much for me. I just went home and I cried."
Tributes flooded in Monday from across Africa.
Congo's minister of culture, Esdras Kambale, called Makeba a role model for all Africans.
"We are very saddened," Kambale said. "Fortunately, she left a large body of music that will be immortal."
Percussionist Papa Kouyate — who played in Makeba's band for 20 years and is the widower of her daughter Bongi — remembered Makeba as a giving person.
"I married her daughter Bongi and she adopted me as her own child," he said. "I will mourn Mama Africa for a long time."
Still, Makeba attracted controversy by lending support to dictators such as Togo's Gnassingbe Eyadema and Felix Houphouet-Boigny from Ivory Coast, performing at political campaigns for them even as they violently suppressed democratic movements in West Africa in the early 90s.
The first person to give her refuge was Guinea's former President Ahmed Sekou Toure, who has been accused in the slaughtering of 10 percent of his country's population.
Makeba insisted, however, that her songs were not deliberately political.
"I'm not a political singer," she insisted in an interview with Britain's Guardian newspaper earlier this year. "I don't know what the word means. People think I consciously decided to tell the world what was happening in South Africa. No! I was singing about my life, and in South Africa we always sang about what was happening to us — especially the things that hurt us."
Makeba announced her retirement three years ago, but despite a series of farewell concerts she never stopped performing. When she turned 75 last year, she said she would sing for as long as possible.
Makeba is survived by her grandchildren, Nelson Lumumba Lee and Zenzi Monique Lee, and her great-grandchildren Lindelani, Ayanda and Kwame. A funeral will be held in South Africa, but details have not yet been announced.
Photographer Jurgen Schadeberg, who shot widely acclaimed pictures of Makeba for Drum magazine in the 50s, felt she epitomized the era where politics and culture collided in a heady mix.
"We are losing our great divas," he lamented by telephone from France.
___
Associated Press Writers Frances D'Emilio in Rome; Boubacar Diallo, Maseco Conde in Conakry, Guinea and Eddy Isango in Kinshasa, Congo contributed to this report.
Miriam Makeba afariki dunia huko Itali baada ya kuugua ghafla wakati ya moja ya maonyesho yake nchini humo. "Mama Afrika", kama anavyojulikana na wengi amefariki akiwa na umri wa miaka 76.


Omar Bin Laden, mtoto wa Osama Bin Laden ambae hivi karibuni alifukuzwa nchini Misri ambako alikwenda baada ya maombi yake ya uhamiaji kukataliwa na Spain. Habari za kuaminika zinaeleza kwamba baada ya kukataliwa na Misri, nchi ya Qatar ilikubali kumpokea kijana huyu.

Rais Joseph Kabila wa Kongo akiwasili kwenye sehemu ya mkutano wa kujadili mgogoro unaoendelea nchini mwake unaofanyika Jijini Nairobi, Kenya.

Mama wa Kikongo akilia baada ya kupata taarifa ya ndugu yake kuuwawa kwenye mapigano yanayoendelea nchini Kongo.

Kitu ambacho mpaka leo sijaweza kukielewa ni kuhusu huu mgogoro unaoendelea Kongo. Mimi siamini kabisa ya kwamba majeshi ya pande zote mbili yanapigana kwa niaba ya kutetea maslahi ya hawa wananchi, bali ni ujinga na uroho wa madaraka ambao hatimaye unasababisha kuteseka kwa mamia ya raia wasio na mbele wala nyuma. Sijui ni lini hawa wanaojifanya ni viongozi watakigundua hicho?

Saturday, November 8, 2008

Waifu akila mapozi harusini wakati anasubiri rumba lianze.... siunajua tena!!

Niko na dada yangu(Neema) JFK wakati akielekea kwenye likizo Bongo.

Wednesday, November 5, 2008


Sarah Obama (chini) anaonekana kufurahia ushindi wa mjukuu wake, wakati picha ya juu wakiwa pamoja wakati Obama alipomtembelea pale kijijini kwake.
Huyu bwana lazima tumpongeze kwa kutambua wapi ametoka na kujiweka karibu na nduguze.

Malik Hussein Obama(kaka wa Rais mteule) akiteta jambo na waandishi wa habari kuhusu nduguye na uchaguzi Marekani.


Nchini Kenya, jana ilikuwa ni siku kubwa sana ambapo Rais Kibaki alitangaza siku hiyo kuwa ni ya mapumziko. Katika picha juu wanaonekana jamaa wakiuza magazeti yenye vichwa vya habari kuhusu uchaguzi.

Remarks of President-Elect Barack Obama-as prepared for deliveryElection NightTuesday, November 4th, 2008Chicago, Illinois.


If there is anyone out there who still doubts that America is a place where all things are possible; who still wonders if the dream of our founders is alive in our time; who still questions the power of our democracy, tonight is your answer. It's the answer told by lines that stretched around schools and churches in numbers this nation has never seen; by people who waited three hours and four hours, many for the very first time in their lives, because they believed that this time must be different; that their voice could be that difference. It's the answer spoken by young and old, rich and poor, Democrat and Republican, black, white, Latino, Asian, Native American, gay, straight, disabled and not disabled - Americans who sent a message to the world that we have never been a collection of Red States and Blue States: we are, and always will be, the United States of America. It's the answer that led those who have been told for so long by so many to be cynical, and fearful, and doubtful of what we can achieve to put their hands on the arc of history and bend it once more toward the hope of a better day. It's been a long time coming, but tonight, because of what we did on this day, in this election, at this defining moment, change has come to America. I just received a very gracious call from Senator McCain. He fought long and hard in this campaign, and he's fought even longer and harder for the country he loves. He has endured sacrifices for America that most of us cannot begin to imagine, and we are better off for the service rendered by this brave and selfless leader. I congratulate him and Governor Palin for all they have achieved, and I look forward to working with them to renew this nation's promise in the months ahead. I want to thank my partner in this journey, a man who campaigned from his heart and spoke for the men and women he grew up with on the streets of Scranton and rode with on that train home to Delaware, the Vice President-elect of the United States, Joe Biden. I would not be standing here tonight without the unyielding support of my best friend for the last sixteen years, the rock of our family and the love of my life, our nation's next First Lady, Michelle Obama. Sasha and Malia, I love you both so much, and you have earned the new puppy that's coming with us to the White House. And while she's no longer with us, I know my grandmother is watching, along with the family that made me who I am. I miss them tonight, and know that my debt to them is beyond measure. To my campaign manager David Plouffe, my chief strategist David Axelrod, and the best campaign team ever assembled in the history of politics - you made this happen, and I am forever grateful for what you've sacrificed to get it done. But above all, I will never forget who this victory truly belongs to - it belongs to you. I was never the likeliest candidate for this office. We didn't start with much money or many endorsements. Our campaign was not hatched in the halls of Washington - it began in the backyards of Des Moines and the living rooms of Concord and the front porches of Charleston. It was built by working men and women who dug into what little savings they had to give five dollars and ten dollars and twenty dollars to this cause. It grew strength from the young people who rejected the myth of their generation's apathy; who left their homes and their families for jobs that offered little pay and less sleep; from the not-so-young people who braved the bitter cold and scorching heat to knock on the doors of perfect strangers; from the millions of Americans who volunteered, and organized, and proved that more than two centuries later, a government of the people, by the people and for the people has not perished from this Earth. This is your victory. I know you didn't do this just to win an election and I know you didn't do it for me. You did it because you understand the enormity of the task that lies ahead. For even as we celebrate tonight, we know the challenges that tomorrow will bring are the greatest of our lifetime - two wars, a planet in peril, the worst financial crisis in a century. Even as we stand here tonight, we know there are brave Americans waking up in the deserts of Iraq and the mountains of Afghanistan to risk their lives for us. There are mothers and fathers who will lie awake after their children fall asleep and wonder how they'll make the mortgage, or pay their doctor's bills, or save enough for college. There is new energy to harness and new jobs to be created; new schools to build and threats to meet and alliances to repair. The road ahead will be long. Our climb will be steep. We may not get there in one year or even one term, but America - I have never been more hopeful than I am tonight that we will get there. I promise you - we as a people will get there. There will be setbacks and false starts. There are many who won't agree with every decision or policy I make as President, and we know that government can't solve every problem. But I will always be honest with you about the challenges we face. I will listen to you, especially when we disagree. And above all, I will ask you join in the work of remaking this nation the only way it's been done in America for two-hundred and twenty-one years - block by block, brick by brick, calloused hand by calloused hand. What began twenty-one months ago in the depths of winter must not end on this autumn night. This victory alone is not the change we seek - it is only the chance for us to make that change. And that cannot happen if we go back to the way things were. It cannot happen without you. So let us summon a new spirit of patriotism; of service and responsibility where each of us resolves to pitch in and work harder and look after not only ourselves, but each other. Let us remember that if this financial crisis taught us anything, it's that we cannot have a thriving Wall Street while Main Street suffers - in this country, we rise or fall as one nation; as one people. Let us resist the temptation to fall back on the same partisanship and pettiness and immaturity that has poisoned our politics for so long. Let us remember that it was a man from this state who first carried the banner of the Republican Party to the White House - a party founded on the values of self-reliance, individual liberty, and national unity. Those are values we all share, and while the Democratic Party has won a great victory tonight, we do so with a measure of humility and determination to heal the divides that have held back our progress. As Lincoln said to a nation far more divided than ours, "We are not enemies, but friends...though passion may have strained it must not break our bonds of affection." And to those Americans whose support I have yet to earn - I may not have won your vote, but I hear your voices, I need your help, and I will be your President too. And to all those watching tonight from beyond our shores, from parliaments and palaces to those who are huddled around radios in the forgotten corners of our world - our stories are singular, but our destiny is shared, and a new dawn of American leadership is at hand. To those who would tear this world down - we will defeat you. To those who seek peace and security - we support you. And to all those who have wondered if America's beacon still burns as bright - tonight we proved once more that the true strength of our nation comes not from our the might of our arms or the scale of our wealth, but from the enduring power of our ideals: democracy, liberty, opportunity, and unyielding hope. For that is the true genius of America - that America can change. Our union can be perfected. And what we have already achieved gives us hope for what we can and must achieve tomorrow. This election had many firsts and many stories that will be told for generations. But one that's on my mind tonight is about a woman who cast her ballot in Atlanta. She's a lot like the millions of others who stood in line to make their voice heard in this election except for one thing - Ann Nixon Cooper is 106 years old. She was born just a generation past slavery; a time when there were no cars on the road or planes in the sky; when someone like her couldn't vote for two reasons - because she was a woman and because of the color of her skin. And tonight, I think about all that she's seen throughout her century in America - the heartache and the hope; the struggle and the progress; the times we were told that we can't, and the people who pressed on with that American creed: Yes we can. At a time when women's voices were silenced and their hopes dismissed, she lived to see them stand up and speak out and reach for the ballot. Yes we can. When there was despair in the dust bowl and depression across the land, she saw a nation conquer fear itself with a New Deal, new jobs and a new sense of common purpose. Yes we can. When the bombs fell on our harbor and tyranny threatened the world, she was there to witness a generation rise to greatness and a democracy was saved. Yes we can. She was there for the buses in Montgomery, the hoses in Birmingham, a bridge in Selma, and a preacher from Atlanta who told a people that "We Shall Overcome." Yes we can. A man touched down on the moon, a wall came down in Berlin, a world was connected by our own science and imagination. And this year, in this election, she touched her finger to a screen, and cast her vote, because after 106 years in America, through the best of times and the darkest of hours, she knows how America can change. Yes we can. America, we have come so far. We have seen so much. But there is so much more to do. So tonight, let us ask ourselves - if our children should live to see the next century; if my daughters should be so lucky to live as long as Ann Nixon Cooper, what change will they see? What progress will we have made? This is our chance to answer that call. This is our moment. This is our time - to put our people back to work and open doors of opportunity for our kids; to restore prosperity and promote the cause of peace; to reclaim the American Dream and reaffirm that fundamental truth - that out of many, we are one; that while we breathe, we hope, and where we are met with cynicism, and doubt, and those who tell us that we can't, we will respond with that timeless creed that sums up the spirit of a people: Yes We Can. Thank you, God bless you, and may God Bless the United States of America.




Siku hii ya kihistoria tutaikumbuka kwa vizazi vingi vijavyo.